Narusha Jiwe Gizani Manispaa ya Kinondoni

Hv sasa Manispaa ya Kinondoni imegawanya na kuwa wilaya mbili.Wilaya ya Ubungo na wilaya ya Kinondoni. Kutokana na mgawanyo huu umepelekea hata watumishi wa Manispaa hiyo kugawanywa.

Kilichonifanya nirushe jiwe langu gizani ni mkakati unaopangwa na baadhi ya watumishi kutumia mbinu chafu za kuloby ili wapate ukuu wa idara katika wilaya hz mbili. Kuna baadhi ya watumishi wanatumia kivuli cha dini katika kufanikisha azma yao ya kupata ukuu wa idara. Lobbying kama hizi zinasaidiwa na mkubwa mmoja ambaye dini yake iko sambamba na bwana SH ambaye anaangaika kwa nguvu zake zote ili aweze kubakia kua mkuu wa idara. Ikifika wakati nitawataja.

Wenu mfia nchi
Bila kuwataja basi unakuwa umeandika majungu kama majungu mengine tu.
 
Ukitaka kufaidi nchi vizuri bila presha tafuta vyako ila ukitegemea kupanda vyeo mtarogana tu na kusubiria kumuabudu binadamu mwenzako Kama alivyofanya aliekuwa RC wa MORO .
 
Kwani hakuna taratibu za kiserikali zinazofuatwa kupeana ukuu wa idara? Huu Uzi una figisu labda mleta Uzi ni mhanga wa kutaka vyeo vya dezo
 
Kwani hakuna taratibu za kiserikali zinazofuatwa kupeana ukuu wa idara? Huu Uzi una figisu labda mleta Uzi ni mhanga wa kutaka vyeo vya dezo
Utaratibu upo lkn superpowers wanaushawishi pia. Ingekuwa ni amri yangu Kinondoni ningebadilisha wakuu wa idara wote na kuwapeleka mikoan
 
Back
Top Bottom