Naruhusiwa kumuoa?

Hapo cha msingi umuulize baba yako, au ndugu zako wa karibu mfano wajomba au baba zako wakubwa! Maana hao ndio wanaifahamu historia ya familia zaid.
Lengo nipate mwanga kwanza kutoka kwa watu wengine ,
Ndipo nifikie maamuzi ya ama kuwaambia walengwa (ikiwa inastahili) au kuachana NALO (ikiwa vinginevyo).
 
Unaweza ukamuuliza Salima kwa ushauri mzuri akikwambia inawezekana unaweza ukamuapproach Asia na kama akikubali
UNARUHUSIWA KUMUOA
Ahsante kwa Wazo lako ndugu.
 
usimuoe kwani bado ni ndugu yako.... si vizuri kuoa ndugu
ikiwezekana waulize nduguzo ikiwemo wazazi
 
Uislamu hauoi ndugu zako wa moja kwa moja, ambao ni dada zako, wengine ruksa! Wataobisha wanafuata taratibu za sisi 'MAKHAFIR' bila kujua!
Hivi kuna MAKHAFIR wakubwa dunia hii zaidi ya WAISLAMU?
 
Hapo mtu unayeweza kuoa ni #Salima pekee (mke wa #Mafudu=mke wa Baba yako/mama mlezi).
Wengine wote wanaofuata ni nduguzako (Huwezi kuoa ) sababu wanabeba damu ya #Mafudu=Baba yako..
 
Hapo mtu unayeweza kuoa ni #Salima pekee (mke wa #Mafudu=mke wa Baba yako/mama mlezi).
Wengine wote wanaofuata ni nduguzako (Huwezi kuoa ) sababu wanabeba damu ya #Mafudu=Baba yako..
NAHISI hujauelewa Kabisa HUO uhusiano. Kati YAO Hakuna Hata Mmoja ambaye ni damu ya #Mafudu.
 
Mkuu hebu tafuta mashekh bana humu ndani watakupoteza bure, ckiiza redio iman uchukue namba za mashekh uwaulize utapata solution
 
Kamuulize shekhe
 
HAYA LEO NI KWENU MABINTI MLIOOKOKA (RAFIKI WA YESU)..

Eti binti kwasababu amempa Yesu maisha (ameokoka) basi ndo haelewekiiiiii,.. Uso alishaacha kupaka hata kapoda tu! Wanja ndo kabisa hagusi eti una mapepo, tehe;

Ukimkuta mdomo umepaukaaaaaa, eti lipshine zinatengenezwa na viungo vya watoto.. Paka basi hata Baby Care.. bado nayo ni shidaa????.

Binti mrembo kasuka nywele twende kilioni mistari mitatu anakaa nazo kichwani mwezi mzima,mara oh rasta zina mapepeo haha.. sasa kwani kususka lazimaaa,
unaweza kuzikata nywele zako vizuri kwa muonekano mzuriii na ukapendeza;

Binti mlokole anajitetea eti mwanaume anaangalia tabia, ha ha mwanaume anakutana na sura yako na muonekano wako kwanza, baada ya hapo ndo anaanza kuchunguza tabia yako,..

Sasa wewe na sketi yako ya kijani ya marinda ndefu mpaka kwenye unyayo na blauz nyekundu muundo wa koti kama msaidizi wa alishabab, viatu vya njano tena vimoka vya juu juu kama "Yondo Sista" unategemea umpate nani? Rangi zimekushinda kupangilia utaweza kupangilia maisha yako na mumeo kwenye ndoa?

Eti wakati ukifika tu Bwana atanipa wangu; utasugua goti mpaka litoke unga, ha ha.. Mwili wako tu unakushinda kuupamba, nyumba utaiweza??? Na mume je! Bwana akupe mume wakati wewe mwenyewe umejishindwa!

Mwanaume anaweza akaoa mwanamke mwenye tabia yeyote na akam-set anavyotaka, lakini sura na muonekano wako ni muhimu bibi weeh...

Utaishia kusema oh ameoa mtu ambaye si mpendwa, wewe ulizaliwa mpendwa??!

Usisahau huyo unayemuita Bwana (Yesu) alikuwa very smart.. anavaa vzr, anapendeza. kanzu yake haikua na kiraka hata kimoja.. ilikua safi na ya kuvutia toka juu mpaka chini ndio maana ikagombaniwa baada ya kifo chake. Ikafika mahali ikabidi waipigie kura kwa jinsi ilivyokuwa inavutia.

Sasa wewe mwenzangu na kitenge chako haijulikani ameshona fundi wa nguo au wa kapeti kha!

Jamani hata kama ni mpendwa na sijui umeokoka basi jipende...

WEWE BINTI/MWANAMKE NI MTU WA THAMANI SANA, LAZIMA UJIHESHIMU LAKINI PIA UJITHAMINI NA UJIPENDE.
 
Mnaoana kama kawaida huyo, hayumo kwenye "mahrim" wako. Soma sura't Annisaai iko wazi kabisa walioharamishwa kwako:

4. SURAT AN-NISAAI
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…