Chukua peni uchore ktk karatasi, utaipna vizuri sana!Mkuu hiyo chain uliyoitengeneza imeniacha hoi
anyway,Ngoja Mashekh waje sie wengine Maamuma..!
Uulisha wahi kumuonja?
kama vile umelewa dini sanaUislamu hauoi ndugu zako wa moja kwa moja, ambao ni dada zako, wengine ruksa! Wataobisha wanafuata taratibu za sisi 'MAKHAFIR' bila kujua!