swaiba ngombe anazaa moja tu na paka anazaa 6 why wasiwe wengiUnafananishaje paka na ng'ombe mkuu?? uzao wao ni tofauti naturally..ng'ombe hawezi kuzaa ndama sita kwa mkupuo mmoja kama paka
Hao mbuzi wanaojichunga wenyewe wana watu wao na kuna namna fulani hivi wenye hiyo mifugo wanajua...Kuhusu kuzaliana mmh hapo sijui..
Kufuga punda ni ruksa ili mradi ufate sheria na taratibu za ufugaji mahali husika
Labda asili ya mazingira hufanya watoto wa paka wasikue haraka, hivyo wengine hufa mapema labdaswaiba ngombe anazaa moja tu na paka anazaa 6 why wasiwe wengi
nenda ofisi za seikali za mtaa wa feri uliza nani ana punda hapa around au uliza yeyote mitaa ile yale mapunda yanayoletaga maji mitaa hii ya nani watakuambiakigambni sehemu gani mkuu
Mkuu wacha kabisa mchezo utawaponza hadi ndugu zako ambao hawausiki utawaona tu wanavyo pukutika wewe ndio utafunga kitabu.WANASEMA WALE NI MBUZI WA ALBADIRI SIJUI ETI WANA MAKAFARA.DAWA YAO NI KUWABEBA WOTE NIGHT NA CANTER KISHA BREAK YA KWANZA VINGUNGUTI.AFU TUONE IYO NGUVU YA ALBADRI