Narudia tena kukwambia Maalim Seif

Mpunilevel

JF-Expert Member
Sep 14, 2015
3,140
1,871
Mgogoro uliopo ndani ya Cuf ni mkubwa sana.
Maalim Seif unaushawishi mkubwa ndani ya Cuf, pia fahamu kwamba Lipumba nae anaushawishi mkubwa tu kama ulivyo wewe.

Habari ya mashabiki ndani ya mitandao ya kijamii si suluhu ya kumaliza mgogoro huu.

Umesikika ukisema ni Bora uzungumze na CCM, lakini si Lipumba. Mimi nasema hapana.

Mgogoro huu Utamalizwa kwa wewe na Lipumba kukaa mezani na kujadiliana Nini kifanyike ili muendelee na ujenzi wa Chama chenu.
Shirikisheni wanataaluma mbalimbali wa masuala ya kisiasa, kisheria, kijamii na kitamaduni katika maridhiano yenu.

Wapambe walio nyuma yenu si wema hata kidogo.
Msipo kubali kukaa na kuyamaliza kwa majadiliano hakika hata patikana mshindi. Matokeo yake mnaiua CUF kwa mikono yenu wenyewe.

Mmeijenga kwa jasho na Damu nyingi za wanachama wenu lakini haya hamkumbuki hata kidogo kwa kua kuna misukumo nyuma yenu isio salama.

Namalizia kwa kusema kwamba mchawi wa CUF ni wewe Maalim Seif na Lipumba.
Mtasingizia kila kundi, kila Raia.

Kubalini kukaa mezani na kuyamaliza.
 
Hapo mnapotosha uma......
Hili tatizo ni dogo sn ila linakuzwa kwa lazima na serikali kwa maslahi ya ccm CHANZO KIKUU KIKIWA ccm KUSHINDWA VIBAYA ZANZIBAR NA KUPORA SHINDI
Maalimu seif hana wafuasi ila anawanajeshi na polisi kutoka ccm......
Serikali inafanya kwa makusudi kupitia kwa msajiri kudhoofisha cuf...
MUHIMU SHERIA ZA VYAMA VYA SIASA AMBAZO SERIKALI KUPITIA KWA MSAJILI WANAKIUKA ZIFUATWE......
lipumba alijiuzuru kwa hiari yake na pi baadaye alivuliwa hadi uanachama kitu ambacho serikali inatakiwa ikiheshimu mamuzi halali ya lipumba na ya cuf.....
 
Lipumba must go, kwa sababu hana jipya ndani ya CUF zaidi ya kuwa kibaraka wa ccm ambaye hataki kuona upinzani unakua,
Anadai UKAWA agenda ilikuwa kwenye katiba tuu, wakati walikubaliana waongeze nguvu ili ikibidi waiondoe ccm madarakani, anakiri kwamba walikaa yeye, dr slaa na nccr wakampitisha slaa agombee urais, akae pembeni anapoteza muda
 
Mgogoro uliopo ndani ya Cuf ni mkubwa sana.
Maalim Seif unaushawishi mkubwa ndani ya Cuf, pia fahamu kwamba Lipumba nae anaushawishi mkubwa tu kama ulivyo wewe.

Habari ya mashabiki ndani ya mitandao ya kijamii si suluhu ya kumaliza mgogoro huu.

Umesikika ukisema ni Bora uzungumze na CCM, lakini si Lipumba. Mimi nasema hapana.

Mgogoro huu Utamalizwa kwa wewe na Lipumba kukaa mezani na kujadiliana Nini kifanyike ili muendelee na ujenzi wa Chama chenu.
Shirikisheni wanataaluma mbalimbali wa masuala ya kisiasa, kisheria, kijamii na kitamaduni katika maridhiano yenu.

Wapambe walio nyuma yenu si wema hata kidogo.
Msipo kubali kukaa na kuyamaliza kwa majadiliano hakika hata patikana mshindi. Matokeo yake mnaiua CUF kwa mikono yenu wenyewe.

Mmeijenga kwa jasho na Damu nyingi za wanachama wenu lakini haya hamkumbuki hata kidogo kwa kua kuna misukumo nyuma yenu isio salama.

Namalizia kwa kusema kwamba mchawi wa CUF ni wewe Maalim Seif na Lipumba.
Mtasingizia kila kundi, kila Raia.

Kubalini kukaa mezani na kuyamaliza.
hapo umemlenga mtu mmoja na sio wote, hata kichwa hapo juu kinasomeka............
bora ufute
 
Hapo mnapotosha uma......
Hili tatizo ni dogo sn ila linakuzwa kwa lazima na serikali kwa maslahi ya ccm CHANZO KIKUU KIKIWA ccm KUSHINDWA VIBAYA ZANZIBAR NA KUPORA SHINDI
Maalimu seif hana wafuasi ila anawanajeshi na polisi kutoka ccm......
Serikali inafanya kwa makusudi kupitia kwa msajiri kudhoofisha cuf...
MUHIMU SHERIA ZA VYAMA VYA SIASA AMBAZO SERIKALI KUPITIA KWA MSAJILI WANAKIUKA ZIFUATWE......
lipumba alijiuzuru kwa hiari yake na pi baadaye alivuliwa hadi uanachama kitu ambacho serikali inatakiwa ikiheshimu mamuzi halali ya lipumba na ya cuf.....

Sikuelewi unaposema Maalim Seif hana wafuasi bali ana wanajeshi na Polisi, ulimaanisha hivyo? au ulikuwa unamtaja Lipumba?
 
Lipumba alipojiuzuru alishauriana na nani? Kwani CUF ni hao wawili tu? Mbona wengine huwasemi? Lipumba tukirudi kwenye utaratibu wa kitaa inaeleweka kuwa amebaka na anastahili kushtakiwa kwa ubakaji wa ofisi na mali za chama.
 
Namwambia Maalim Seif kwa kua hataki kukaa mezani na Lipumba.
Rejea clouds 360.
Lipumba yupo tayar kufanya kazi na Maalim Seif
 
Elewa maelezo ndugu.
Wote wanaushawishi mkubwa sana.
Na mpambano unaosomeka ni Lipumba against Maalim Seif
 
mtu mnafki aliyekaribishwa Cuf na maalim seif Leo anatuma wahuni kwenda kupiga watu! Alijiuzulu mwenyewe Leo chama kina wabunge wengi anajirudisha kibabe...alinunuliwa na kwenda kupumzika Rwanda na kwingineko wakati wengine wanatafuta kura...alibeba pesa za kampeni na kutitia Nazo akakitelekeza chama!! Leo maalim akae nae kuongea nini?? Tuache upuuzi kuna wakati wa kukaa na kuongea na kunawakati wakupigana...Lipumba hastahili kukaa kikao na maalim...anapaswa kukimbizwa kama "kibanga ampiga mkoloni"!! Huyu nisawa na wale waafrika walioshirikiana na wazungu ili waafrika wawatumikie wazungu enzi za ukoloni!
 
Mgogoro uliopo ndani ya Cuf ni mkubwa sana.
Maalim Seif unaushawishi mkubwa ndani ya Cuf, pia fahamu kwamba Lipumba nae anaushawishi mkubwa tu kama ulivyo wewe.

Habari ya mashabiki ndani ya mitandao ya kijamii si suluhu ya kumaliza mgogoro huu.

Umesikika ukisema ni Bora uzungumze na CCM, lakini si Lipumba. Mimi nasema hapana.

Mgogoro huu Utamalizwa kwa wewe na Lipumba kukaa mezani na kujadiliana Nini kifanyike ili muendelee na ujenzi wa Chama chenu.
Shirikisheni wanataaluma mbalimbali wa masuala ya kisiasa, kisheria, kijamii na kitamaduni katika maridhiano yenu.

Wapambe walio nyuma yenu si wema hata kidogo.
Msipo kubali kukaa na kuyamaliza kwa majadiliano hakika hata patikana mshindi. Matokeo yake mnaiua CUF kwa mikono yenu wenyewe.

Mmeijenga kwa jasho na Damu nyingi za wanachama wenu lakini haya hamkumbuki hata kidogo kwa kua kuna misukumo nyuma yenu isio salama.

Namalizia kwa kusema kwamba mchawi wa CUF ni wewe Maalim Seif na Lipumba.
Mtasingizia kila kundi, kila Raia.

Kubalini kukaa mezani na kuyamaliza.
Hivi wewe unaelewa kweli kinachotendwa na Mutungi kwa kupitia kwa profesa wa kwanza masikini duniani , au umeamua kubwatuka tu ?

Hata shetani hawezi kukubali ushauri wako , unakifahamu alichoelekezwa lipumba na wanaomtuma ? Hivi unajua kwanini lipumba alichotewa hela ya umma kwa udi na uvumba ?

Nina hakika wewe bado ni kijana mno kwenye jambo hili , Ushauri wako umepuuzwa mara moja .
 
Asante kwa maelezo mufti kabisa! Kunavitoto vinatoa ushauri huku havijawahi kuongoza hata monitor darasani. Hili swala linahitaji akili ilopanuka kudeal nalo...msaliti anayenunuliwa na vijifedha hawezi kuongoza harakati za ukombozi! Limapumba Ni msaliti,tapeli,kigeugeu,kizabizabina,mbinafsi,mjinga nk. nk. Hafai siyo tuu kuongoza bali hata kusikilizwa.
 
Back
Top Bottom