Narudia tena, CHAMA ni mchezaji wa mechi ndogo

Umesahau aliwafanya nini pale kwa Mkapa kile kipindi cha kwanza mlipoutafuta kwa tochi, mkaja kupumua baada ya kocha kumtoa, uto una kumbukumbu fupi sana.

Leo huku kwetu ni mlete..... mlete.....mlete...!!
We jamaa ni muongo. Mayele kawapindua beki zenu na kusawazisha alikuwemo na alipotezwa pale kati.
 
Yani pale mtu anapoandika uzi kumnyea mtu ambae anaona kabisa ni tishio any way vinyesi ni vyenu nyie vifurumisheni tuu
 
Ulishawahi kujiuliza kwanini huyu dogo anafanya vyema sana akiwa anacheza na timu za mikoani? Hivi kwanini akiwa nje ya Lupaso hana maajabu sana?

Ushawahi kujiuliza kwanini ameshindwa kuperfom vyema kwenye medani za waarabu tena nyakati mbili tofauti?

Yea. Jibu ni "Huyu ni mchezaji wa mechi ndogo" yaani uwezo wake unategemea pakubwa mapungufu ya mpinzani. Dogo hajawahi kutoa "WOW" type of perfomance katika medani kuu za soka barani afrika.


Yaani kiufupi ndio hivyo. Ndio maana hajawahi hata kumaliza dakika 90 kwenye Kariakoo Derby yeyote ile aliyo cheza, licha ya uwezo wake mnao uona kila siku.

Kibaya zaidi hana uwezo wa kuibeba timu, yaani timu ikiwa katika hali ya kuhitaji individual brilliance Chama hawezi kukupa hiko kitu.

Ni sawa kuonekanaa anaweza weza pale Simba kwa sababu klabu kwa sasa haina kariba ya wachezaji wa hadhi ya juu.
Nikikumbuka Nkana walivyokufa kwa goli mtangazaji aliliuliza kama macho yake yanaona kama mimi nakuona kinyesi kimekujaa kichwani
 
Kwani we tatzo lako ninii!!!?

kama kopo lipo jirani hapo nenda toi ukanye hukooo!!😂😂

sie tuache na chama wetu. Awe mdogo awe mkubwa kwani we unawashwa washwa niiniii!!!!?
 
Mtoa mada yuko sahihi chama ni mchezaji wa kawaida wakucheza kwenye space anapokutana na ihefu hawezi kabisa kusajiliwa na timu yoyote kubwa.

Mkibisha mpangeni derby ijayo tuwakamue tena
 
Umesahau aliwafanya nini pale kwa Mkapa kile kipindi cha kwanza mlipoutafuta kwa tochi, mkaja kupumua baada ya kocha kumtoa, uto una kumbukumbu fupi sana.

Leo huku kwetu ni mlete..... mlete.....mlete...!!
Amefanya mra ngapi hiko mnachodai?

Nazungumzia consistance na sio fluke.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom