The giant represents someone who is actually powerful, talented, successful, or capable.No you got it wrong
It means a giant seees no pride,
It was in the context of attaching oneself to negative words... It meant not seeing reflections that might tear him down
Huyu anapenda mambo makubwa kuliko uwezo wake! Siunaona anavyolilia kua platinumMbona anataka watu wa hatari hatari π
Stop using AIThe giant represents someone who is actually powerful, talented, successful, or capable.
The mirror represents self-reflectionβhow you see yourself.
Seeing nothing represents low self-worth, lack of self-awareness, or being unable to recognize your own abilities.
π Mbona unaogopa AI hivyo? Bado mimi ndiye ninayekujibu.Stop using AI
Sipendi kabisa
Hajamtaka cocochanel kweli huyu?Huyu anapenda mambo makubwa kuliko uwezo wake! Siunaona anavyolilia kua platinum
List ni ndefu ila wengine alowataka nikiwataja nitakua nawavunjia heshima
Aiseeπ naona Mmeanza kunitafta kivingine sasa ngoja nikae chonjo
Bro mimi ni msomaji mzuri tuBwana Elevenn/de Gunner/Kanye west and so ......
Last time ulikuja baada ya kipigwa ban,ulituonyesha kitabu cha Think big,nikajua sasa mwenetu sasa umekuwa,na ukatoa speech nzur sana
Kwamba umebadilika na umekuwa mtu mpya kabisa,no drama za kijinga na no upuuzi
Mbona sioni ulichotuahidi hapo awali?
Ufahamu wako umeenda wapi?
Je unataka nini hasa?
It looks like you don't know what you really want
Ebu chill na think big ,ni muda wa kunadilika sasa.
List ni ndefu ila wengine alowataka nikiwataja nitakua nawavunjia heshima
Alivyoona Hizo Binti Binti akajua wote hao ni mabinti. Wakati kun mmoja hapo ni Ngariba wa Kijiji πππHaya jiseme sasa tofauti na Binti wa zamani na binti kiziwi
Ulimtaka nani akakukataa?
Hivi kwanini habari zako sina wakati nashinda JF?
Wewe umejianika humu kama nyeti za kuku dhidi ya upepo, hivyo wakikuzingua na kukumudi ni wewe tu BwasheeYou naield it mlevi.. π―
Hance Mtanashati Mimi hupendelea kumwita Chuchu hansAu sio
Labda nikuulize, wewe unaweza kujianzishia uzi wa kufa? Mimi siwezi kwasababu hakuna kitu nafaidika kwenye ule uzi wala jukwaani
Sijaomba msaada wa kipesa kusema kwamba nataka hela zenu
Mimi sio mfanyabiashara humu kusema kwamba navuta attention ya watu ili wanifahamu nipate kuuza nachouza
Kuna pimbi mmoja Equation x nimeona comment yake leo ati anasema nataka kuua hii ID ili nifungue nyingine...which is pure bullshit
Huyu phaller Hance Mtanashati nimeshamzoea by default huwa anawashwa
Unafikiri hata basi anatutaka? Hawa ni wale watu wa JF ambao anataka akumanye siku ukimzingua anakuja kukumwaga humu.Haya jiseme sasa tofauti na Binti wa zamani na binti kiziwi
Ulimtaka nani akakukataa?
Hivi kwanini habari zako sina wakati nashinda JF?
Bro mimi ni msomaji mzuri tu
View attachment 3652143
Alivyoona Hizo Binti Binti akajua wote hao ni mabinti. Wakati kun mmoja hapo ni Ngariba wa Kijiji πππ