Narudi nikiwa unstoppable

In my time off, JF nilijikuta naingia katika kujitathmini kwa kina ili nijue where why y'all hating on me the goat 🐐?

Ila nikaona it's all me who's trying to give y'all the upper hand.

Utakuwa una shida sana Kama kweli umeona ww ndio Ulikuwa unawapa watu the upper Hand.

Hii sijui mara ya ngap nakuambia.
Kwanza, Hakuna mtu anakuchukia.
Hakuna mtu anajali kuhusu ww.
Uwepo au usiwepo hakuna utakachongeza au kupunguza JF.

Pili, The people who you think you gave the upper hand to, are actually feeling sorry for you, And they indeed interact so you can see where the problem is.
And if you still cannot see it. Then its NOT their problem. Its Yours.

Tatu, You dont have to prove (especially by words) to anyone, your Value is measured by what you do, what you Say, and how the content you posted inspired people.

And If You deserve it, it will come without asking for it.
Respect is earned not Requested.
 
Why do you think you have any autonomy to tell me about how I think about myself? Kama sio kuumizwa na kuwa na nongwa binafsi...

Infact ingekuwa ni uongo hata usinge kuja na gazeti lako hili..

Mwisho kabisa, my life.. My rules. Hakuna kiumbe kingine chenye autonomy to tell me otherwise
 
Tunafurahi kukuona mrembo.

Karibu tena jamvini.
 

I dont have any issues with You bro.
Pia Siwez kuumizwa na Fake ID.

Alaf naumizwa kwa lipi hasa ulilonalo bro?.πŸ™„πŸ™„πŸ™„

Yaan niumizwe kwa kuwa ww una Kiherehere na Ushamba alafu mimi sina 😎😎😎
 
I dont have any issues with You bro.
Pia Siwez kuumizwa na Fake ID.

Alaf naumizwa kwa lipi hasa ulilonalo bro?.πŸ™„πŸ™„πŸ™„

Yaan niumizwe kwa kuwa ww una Kiherehere na Ushamba alafu mimi sina 😎😎😎
Stop showing sympathy just because I called out your shameful behavior..

Reactions na emojis za nini mtoto wa kiume?
 
Stop showing sympathy just because I called out your shameful behavior..

Reactions na emojis za nini mtoto wa kiume?

Kuna kitu kimoja niko na uhakika nacho.
Kuwa Watu watakuchoka soon na wata kuignore.
Maana ni maisha umejiamulia.

Si unaonaga hata wanaotafutaga attention kwenye mitandao ya kijamii, wale ambao hawana content, huwa wanaishiaje? .
Ndio kitakachokutokea.

NB:
Bundle langu la kureply kwenye post zako imebaki sms 2.
Ila imoji za kukucheka ziko Unlimited.
 
Acha kutia huruma na magazeti yako..
Fatilia maisha yako
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…