Halafu kijana ni mtata hadi nje ya Jf.πππ
Kijana ana shida sehemu, anahangaika na IDs nyingi hapo hapo anakuwa anazipigia misele IDs zenye majina ya kike. Hivi hata kama kweli ni Mwanamke nani atamkubalia ? Maana mpaka hapo anaonekana kama Tqpeli, mtoto mdogo tu msumbufu au mtu asiyejielewa
Kati ya watu ambao hawezi hata kufikiria hilo jambo ni mimi... Naomba usimrushe kipepeo binti kiziwi π
Jitahidi kuziepuka kwa wivu mkubwa, kwa kukwepa kufanya Yale yote yanayoweza kupelekea yote hayo kutokeaMkuu ban haizoeleki jau sana
Sahihi, maana wengine watakuchokoza tu ili mradi upate hiyo banYes, mara nyingi nikutojihusisha na ID chokozi....au kujua namna ya kuzitreat ili zisisababishe hayo yote yasitokee
KabisaYes, na ukishalitambua hilo.
The game nayo inaishia hapo hapo
Kumbe ishu kubwa ni pisi ?π π πAisee π
Hii vita sasa ni kama unataka kuanza upya tena.. Mimi ni mtu poa na genuine sana. Msinijengee picha mbaya mwishowe pissi kali zinikimbie bwana.
Aloo πππ watu hamna jema kabisaInasemekana Binti wa zamani amekuwa binti wa kisasa
KajifunguaAloo πππ watu hamna jema kabisa