Narudi mahakamani kumshitaki Tibaijuka -Taher | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Narudi mahakamani kumshitaki Tibaijuka -Taher

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by kilimasera, Dec 23, 2010.

 1. kilimasera

  kilimasera JF-Expert Member

  #1
  Dec 23, 2010
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 3,073
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  MARA baada ya Waziri wa Ardhi nyumba na Maendeleo ya Makazi, Prof. Anna Tibajuka kuchuku uamuzi wa kubomoa kuta alizogundua zimechuliwa isivyo halali mmiliki wa kiwanja hicho, Taher Muccadam amedai anarudi tena mahamani kudai haki yake ya msingi a ku
  Alisema yeye ni mmilikii halali wa kiwanja hicho na waziri huyo alifanya kitendo hicho kwa kukaidi amri ya mahakama.

  Wakili mtetezi wa aliyekwua mmiliki wa kiwanja hicho alisema kitendo alichokifanya Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi cha kuruhusu tingatinga kumvunjia ukuta mteja wake si halali kwa mujibu wa sheria wka kuwa alipewa vibali kutoka mahakamani vya kujenga eneo hilo.

  Alisema hatua hiyo ni dharau kubwa na ni nudhalilishaji wa kukaidi amri ya mahakama na watarudi mahakamani kumburuza waziri huyoaliyetumia nguvu kumoboma ukuta huo.

  Awali waziri buyo aliwataka waliojiita wamiliki wa viwanja hivyo wajitokeze na aliwapa muda na alisema wasipojitokeza sheria itafata mkondo wake.

  Kutokana na kauli hiyo ya waziri mmiliki huyo alitoa notisi ya siku saba kwa
  Waziri Tibaijuka amuombe radhi na amlipe fidia ya Shilingi bilioni mbili kwa madai alivunjiwa heshima na kumdhalilisha kwa jamii vinginevyo atamfikisha mahakamani waizir huyo.

  Hata hivyo waziri huyo hakufata kauli ya mmiliki huyo na juzi majira ya usiku alitinga eneo hilo na kubomoa eneo hilo lililo karibu na Hoteli ya Palm Beach kiwanja namba 1006 Upanga jijini.
   
 2. Afrika Furaha

  Afrika Furaha JF-Expert Member

  #2
  Dec 23, 2010
  Joined: Dec 16, 2010
  Messages: 329
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Haya tuone nani mjanja!!!
   
 3. j

  jimy Member

  #3
  Dec 23, 2010
  Joined: May 27, 2010
  Messages: 9
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tusubiri kama ni nguvu ya soda au la
   
 4. Mwananzuoni

  Mwananzuoni JF-Expert Member

  #4
  Dec 23, 2010
  Joined: Apr 22, 2009
  Messages: 288
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 35
  Kumbukeni Serikali imerudi Kazini ilikuwa imelala. Hivyo usitegemee mteremko hata huko Mahakamani unakokimbilia.
   
Loading...