NIMPENDENANI
JF-Expert Member
- Nov 2, 2014
- 6,114
- 5,398
Mke mkubwa ndio mana,huyu hakuja kukaa amekuja kushtaki ana kesi na mumewe yakipuuzi..Naww kila siku watu wanakuja kukaa kwako tu?
umeanzaNaww kila siku watu wanakuja kukaa kwako tu?
Shosti nadhani unajua ma wifi gubu lao lilivyo,hiyo kesi wala sio kubwa ila huyu wifi anataka kumpanda kichwani yule Mumewe,kwani ukikosa nguo za Eid ndio utakufa? ana tabia mbaya tuu,mume sijampigia mie mwaya na nimemkataza asimpigie manake anarudi 31Aug safari wache aje akukute hapa kwani kanisikia kiherehere chake kapiga cm nakulia bwana yule kasikiliza kesi mwisho akamwambia rudi kwa mumeo au kwa mamako...Mimi ni me umekosea kutaka ke zaidi wakati ujasiri uko kwetu... sasa na wewe tumia umafia mpigie mmeo na uweke loud spika kisha mwambie wifi atulize mshono kisha mwambie amekataa kuondoka then akisikia hilo povu hata mabegi hutamsaidia... Hiyo simple kabisa jiongeze usiishie kutafuta wema wa duniani... hata ingekuwa mimi hapo hatobaki labda aje na RB kutoka kwa IGP....over
Sent using Jamii Forums mobile app
nasikia ijumaa sijui kweli? ndugu zetu islamic watusaidie kujibumtimue hata umalmbe kama ni wa kukusema vibaya atakusema tu.. akakae na mumewe huko.. hivi ed lini?
Eid ni 1sep, shosti mie hua sipendi tafran na mawifi unawajua midomo yao,nimemwambia usimwambie kakako msubirie aje kwani kanisikia? yamemkuta anasema mwambie nikae mpaka Eid na bwana yule akishikilia lake ndio hilo hilo..mtimue hata umalmbe kama ni wa kukusema vibaya atakusema tu.. akakae na mumewe huko.. hivi ed lini?
yes lov ni 1sep ijumaaa inshallah..nasikia ijumaa sijui kweli? ndugu zetu islamic watusaidie kujibu
ingekuwa ni sababu ya maana hapo sawa eti nguo ? amsubirie kaka yakeEid ni 1sep, shosti mie hua sipendi tafran na mawifi unawajua midomo yao,nimemwambia usimwambie kakako msubirie aje kwani kanisikia? yamemkuta anasema mwambie nikae mpaka Eid na bwana yule akishikilia lake ndio hilo hilo..
ngoja niseti watu weekend ndefu hii...nasikia ijumaa sijui kweli? ndugu zetu islamic watusaidie kujibu
Unajua huyu wifi anataka amzowee mumewe kama nguo ya ndani na nahisi mume amechoka manake kwangu mimi sioni kama ni kitu kikubwa hata angekuja kuomba hela ya nguo kakake angempa,na kakake amemwambia unashindwa kumvumilia mumeo unamkimbia kisa nguo? sasa na hapo kwangu ondoka staki ujinga wako ...jamani hivi kununuliwa nguo ya sikukuu ni muhimu ehee? mbona mambo ya kitoto hayo!! ana hamu tu ya kurudi nyumbani, kama anataka sana nguo anunue kwa hela yake!!
Shosti huyu hamsubiri ataondoka manake yule bwana akija atamchapa vibao,anawapenda wadogo zake ila wakimtibua anawabutua mie nakimbia chumbani hua staki kuona ugomvi wao...mara unaambiwa nuksi...ingekuwa ni sababu ya maana hapo sawa eti nguo ? amsubirie kaka yake
afadhali tupumzikeyes lov ni 1sep ijumaaa inshallah..
ha haha si anajua hilo we muache abamizwe vizuriShosti huyu hamsubiri ataondoka manake yule bwana akija atamchapa vibao,anawapenda wadogo zake ila wakimtibua anawabutua mie nakimbia chumbani hua staki kuona ugomvi wao...mara unaambiwa nuksi...
Hapo sasa ndio utasikia kwani mkewe hata kanisaidia? kaniwacha nimepigwaaa mpakaaaa ...ha haha si anajua hilo we muache abamizwe vizuri
we usijaliHapo sasa ndio utasikia kwani mkewe hata kanisaidia? kaniwacha nimepigwaaa mpakaaaa ...