Wernery G Kapinga
JF-Expert Member
- Feb 2, 2012
- 376
- 127
Kutokana na kukosekana kwa ajira hasa za ualimu wa masomo ya sanaa, narudi kuanza upya masomo ya sayansi. Tena naanza na Qualifying Test na baadae kama private candidate. Elimu haina mwisho naomba ushauri wenu