Narudi CCM

# wajanja wote ni kufanya shughuli binafisi ukisubilia kila kitu ifanye Serikali utaramba chuma cha Reli......!!#

Hongera kwa kulitambua hilo mpendwa
Kumbe na wewe ni Ngosha team eeeh.
Go @Magufuli go, ulipo tupo.
 
Kweli mkuu kakomae na buku 7
 
Unadhani ni rahisi kuwa upinzani bila shughuli ya kufanya wote waliokuwa upinzani wana shughuli zoa ndio maana wanaweza kupambana nao wewe unayetafuta vyeo rudi ingekuwa umesema unaachana Na siasa kweli ningekuona una point
 

Mwishowe CCM itakumbwa na yaliyowapata KANU (Kenya) na UNIP (Zambia).

Kimsingi hiyo safari ilianza kitambo lakini kufikia hiyo tamati kunategemea sana siasa, weledi na fikra sahihi za wapinzani. Kwa mwendo wa kubadili gia angani, CCM itaendelea kuvuta Oxygen kwa muda mrefu.
 
Duh thread yangu hii ya Nov.2010 kweli maandishi yanaishi aiseeee
 
Mkuu mimi unigawie mashati ya kijani tu niweninatinga nayo mitaani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…