Nargis mohamedi akiwa gym

Kinajitahidi kisiwe kibibi bomba,bado kana mvuto kiaina
 
Miss Tanzania alikuwaga huyu jini. Kwa sasa ni bosi pale crdb microfinance mikocheni. Shapiga sana huyu mie
 
Alikuwa miss Dar City Centre miaka ilee na miss TZ no 2 au 3 la ckosei mwaka huo huo
Alikuwa video queetwa zali la mentali wa profesa Jay

Amecheza filamu kadhaa za kibongo na Magwiji Kanumba( RIP)na Ray...Kanumba alicheza nae The magic house while Ray alicheza nae Yellow Banana na Woman of Principles
Alisoma IFM na ameajiriwa CRDB Bank office

Ameolewa na ana mtoto mmoja
Aliwahi kutoka na Masoud Kipanya mpaka kukaribia kufunga ndoa but Hawakufanikiwa...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…