Narendra Modi ana Msukumo wa Siasa ka kali za Kihindu.

imhotep

JF-Expert Member
Oct 13, 2012
47,740
73,212
Baada ya kikundi cha Jaysh Muhammad kushambulia Msafara wa Majeshi ya India Kashmiir inayokaliwa na India na kuuwa askari 40+Gaidi.

Tumeshuhudia Waziri Mkuu wa India Narendra Modi akiisingizia Pakistan kwa Shambulizi hilo,hata pale Imran Khan alipomuambia tatizo la Ugaidi ndio linayoisumbua Serikali yake.

Na Imran Khan akaomba mazungumzo na India ili kuweza kulitatua kwa pamoja tatizo la Ugaidi karika Eneo la Kashmiir,Modi hakuelewa kitu na kutuma Ndege za Kivita kwenda kushambulia Pakistan,ni Hatari Saana.

Kwenda Kuishambulia Pakistan ni Hatari Sana kwani kunaweza kukaanzisha Vita mbaya ambayo itatuathiri watu wengi hadi Afrika ya Mashariki tumo.

Imran Khan ni Waziri Mkuu Aliyejipatia Umaarufu kwenye michezo na Wala hana Siasa kali ni Muisilamu Poa.

Modi alitakiwa ukumvuta karibu na Kumsaidia nasaha jinsi ya kupambana na vikundi vya waasi wa Taarik Taliban kikundi cha kigaidi cha Pakistani ambacho ni hatari sana na ndio kilichozaa Afghan Taliban.

Hata baada ya Pakistan Kumuachia Rubani wa India kama Good will gesture Bado India imeendelea kuishambulia Ardhi ya Pakistani kwa kutumia Heavy Mortats na Atillery tena inalenga Vijiji Vya Raia

Pakistan imejibu kwa kurudisha Mashambulizi kwa India na yenyewe bila aibu imelenga maeneo ya Raia

Jumuia ya kimataifa ijarivu kuingilia kabla Mgogoro huu haujashika kasi ya Treni ya Makaa ya mawe.
 
Waache wapigane tu ..hayo mambo kuna wakati huwa Yanai changamsha dunia
Ila najisikia huzuni kwa watu wanao kufa bila hatia
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu wakipigana na makombora ya Nuclear fallout na tulivyo karibu kijiografia na Bara hindi highly charged Radioactive particles zitaletwa huku Afrika ya Mashariki na Trade Winds tutaugua maradhi yasababishwayo na Radiation tutakufa kwa Saratani kwa wingi.
 
Mkuu wakipigana na makombora ya Nuclear fallout na tulivyo karibu kijiografia na Bara hindi highly charged Radioactive particles zitaletwa huku Afrika ya Mashariki na Trade Winds tutaugua maradhi yasababishwayo na Radiation tutakufa kwa Saratani kwa wingi.
Hao ni ndugu
 
Back
Top Bottom