Wyatt Mathewson
JF-Expert Member
- Dec 22, 2017
- 10,755
- 25,388
Yote uliyoyasema yanawezekana lakini kumbuka JPM ndiye Rais na Amri Jeshi mkuu...ana hiari afuate ushauri au asiufuate na hakuna wa kumfanya chochote kile kwa sasa!!
Ni rais,ila siku ya wagombea wanaomba ridhaa hana mbavu za kumzuia mtu yeyote!
Na wale wazee wa kamati kuu wanaweza fanya lolote!
Mnajidanganya sana na neno “amri jeshi mkuu”!
Ndio maana unaona anahangaika sana,anajua hana nguvu yoyote kujipitisha kua mgombea urais wa CCM!
Ingekua ni rahisi hivyo wala asingekua na presha zote hizi za sasa!
Chezea!