dogo kubwa
JF-Expert Member
- May 21, 2016
- 798
- 697
Upande wa M-Pesa kila miamala unayoifanya andika na jioni angalia salio. Ukiona figisu watembelee voda kwasababu ndani ya voda kuna vijana wa IT wezi wanataka maisha mazuri na utajili wa haraka wakati mishahara haiwatoshi wanachokifanya wanatengeneza kaprogram kakuiba hata shilling mbili kila saa ukizidisha na wateja kwa siku wanaondoka na hela nyingi. Hila wengine wanapiga ndefu kwa mteja mmoja ukitoa taarifa na kulalamika watakuambia system iliteleza sorry utarudishiwa muhamala wako, lakini ukinyamaza ndo imekula kwako. Kuhusu cash money ya mkononi yako mambo ya mazingira ya kiswahili! Wengi kwevile sio wafanyabiashara wanaweza wasijue lakini kwawafanyabiashara hayo mambo yapo. Unaweka hela unakutapungufu mwingine kaishajisevia! Sasa angalia imani yako kama mkristo jifunze!
Ni tofauti kabisa na ya M pesa mkuu, sizichanganyiPesa unayoitumia kwa matumizi ya kawaida inajitegemea?
Miezi sita sasa, mwanzoni nilodhani nakosea mahesabu, nikawa strictly zaidi kwenye mahesabu, ila bado napata hasara
Ninajitahidi kutunza mkuu, kila mwisho wa wiki napiga hesabu, then nakuta hasara, niko makini mfano, mtu akitoa elfu tano, nisitoe elfu 50 mimi, niko makini na nambaHuwa unatunza kumbukumbu za miamala ipasavyo?
Huenda unatapeliwa baadhi ya miamala ila hujagundua. Na ni mtu mmoja anaendelea kukufanyia huo mchezo.
Huenda kuna shirk hapo inahusika.Ninajitahidi kutunza mkuu, kila mwisho wa wiki napiga hesabu, then nakuta hasara, niko makini mfano, mtu akitoa elfu tano, nisitoe elfu 50 mimi, niko makini na namba
Sent using Jamii Forums mobile app
Hela za noti na zile za sarafu, imekaaje hiijitahidi kila jioni unapofunga ofisi ufunge na mahesabu pia,ujue kiasi ulicho anza nacho asubuhi ndio icho unachofunga nacho.
alafu pia jaribu kutenganisha ela za noti na zile za sarafu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Inafanyaje kazi hii chuma ulete mkuu, ni mtu mmoja ananichezea au ni kikundi cha watuHyo ndyo changamoto na kilio cha mawakala wengi , tatizo bila kupepesa macho ni chuma ulete [emoji817], cha kufanya na ufumbuzi wake ni kama ifuatavyo
1. Kama n mkristo zama kwenye imani kwelikweli utapona janga hilo
2. Kama kwenye imani hau fit nenda kwa mganga wa ukweli ukapate zindiko kufukuza chuma ulete
Soma pia ushauri no reat hapo juu , chuma ulete anaweza kua mtu au kikundi lakin mala nyingi ni mtu mmoja lakini kwa ushauri zaidi jenga mazowea ya kuweka kumbukumbu kwa maandishi kila unapofanya miamala iwe kutoa au kuingizaInafanyaje kazi hii chuma ulete mkuu, ni mtu mmoja ananichezea au ni kikundi cha watu
Sent using Jamii Forums mobile app
ina aminika sana kua ela za sarafu zinatumika sana kama chuma ulete,.kwaio ukitenganisha ina maana hazitagusana na ela za noti na apo chuma ulete haitafanyika.