Napitia katika changamoto kubwa

Usipanic life begins at 40 ukiacha desperation wako atakuja ila sasa hivi ikikurupuka utaumia atajitokea mhuni akulize. God's time is the best loh , hafu zawadi ya maisha ni muhimu kuliko huyo mume unayemlilia ukiona case za wanawake kuhangaika kuwatuliza waume kuanzia kanisani had kwa waganga ungetulia tu upate sahihi

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Sasa hivi naona kama umri unaenda sana hivyo nahofia kukosa mtoto kabisa. Tatizo kubwa nililonalo ninapenda sana watoto na kwa sasa namhitaji kuliko ninavyoweza zungumza.
 

Wamtumainio bwana ni kama mlima wa sayuni hawataabika milele, usife moyo usikate tamaa uliamua kumtegemea Mungu endelea hadi mwisho mengine hayo ni hila za shetani endelea kumtegemea Mungu
 
naomba nikuulize maswali haya
1.Upo tayari kuzaa na mwanaume ulomzidi umri?
2.Unaishi sehemu gan?
3.Unafikiri kupata solution ni hiyo tu kuwa na watoto?
 
Pole.
Ila nikwambie kitu hakuna kitu kizuri kama subir(subra).
Vuta subra mpendwa God's timing is the best mwache Mungu atende kwa muda wake.

Sasa hivi point uliyofikia si nzuri kiwa makini maana waweza pata mwanaume akakuumiza maana waonekana unashida sana.

Endelea kumtegemea Mungu,kuwa na moyo wenye kusubiri.
 
Pole m-dada....

Kwangu kwa umri uliotaja bado mbona u-mdogo. Tamaa uliyokata ni kubwa saana kuliko umri. Vuta pumzi kuna wenzako wanaolewa kwenye 35 na wanazaa kwenye huo umri.

Kwa upande wa pili.
Unataka mwanaume je unajiweka kimtego mtego au bado unabehave kama mwanafunzi wa sekondari asiyehitaji mazoea anatunza bikra yake??

Wanaume tunachukia over protective women.. Siku hizi ni wanaume wachache wanaopoteza muda wao kuzungushana na wanawake wanaowapush.

nitakushauri haya.

1. Kuwa mwanamke, pendeza, ishi kwa tabasamu, watege wanaume bila kuwaonyesha unawatega.

2.Najua sio wote mmepewa sura na maumbo lakini wanawake wangapi wasio na sura na maumbo mazuri wameolewa? Mwanamke kauli, pendeza na uvutie.

3. Toa stress za kudhani ushapitwa. Hili linakutesa akilini. Sahau You are still young.
 
Nimeishia sehemu uliyosema unajilaumu kwa nini hukufanya walivyofanya wenzako. Unaonekana umeingiwa na mashaka kama Petro. Pia huenda hujajibiwa kwa kuwa hujaandaa moyo wako katika jibu la Mungu ambalo liko tofauti na malengo yako. Umeshamwekea limit Mungu ya kwamba lazima mtu awe wa kusali jumapili. Badili ombi lako na uwe mvumilivu. Omba Mungu lakini usisahau kumalizia maneno yafuatayo, "mapenzi yako yatimizwe". Soma misitari ifuatayo. Isaya 48:17-18, Zaburi 32:8, Isaya 40:27-31.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…