Napinga sehemu ya malipo ya Lema...

Kwa hiyo ume support hoja, ya kwamba Lema ni sawa na hao kina wasira walilala na kulipwa, kwa haki wote wasilipwe
HONEST IS A BEST POLICY IN MY HEAD

Mimi nilitaka wewe uone kitu cha kuandikia na wala si suala la Lema. Kwani lema alijitoa mwenyewe bungeni? mimi nahisi ulitakiwa kuwasemea akina wasila, komba n wenzao na si huyu kijana ambaye fitina za CCM zilimsimamisha. Nionavyo mimi Ccm inatakiwa kuripa hata wananchi wa arusha kwa kuwanyima uwakirish kwa muda mrefu.
 
Wewe ni mpuuzi tu unashindwa kujua huo ni utaratibu walio uweka wabunge wa magamba.
 
Wewe ni mpuuzi tu unashindwa kujua huo ni utaratibu walio uweka wabunge wa magamba.

Kwa hiyo bunge la sasa liko imara? Mbona kuna Kauli wabunge 50 wa CCM ni sawa na mbunge 1 CDM , au tu nakubaliana na CCM sehemu wanazotupatia mkate
 

Narudi POSHO za mafuta sio HAKI yake, akuwa mbunge tunashindwa kuelewa wapi?
 
Hope Prof Shivji atoitwa gamba kwa yeye kusema ukweli kwenye ili saga pia

Kumekuwa na Tabia ya kifanya kila kitu siasa, sijui tunaelekea wapi
 

neno posho zotte ni halali
Posho za mafuta, ni muhimu mno ili azungukie kote ambapo hakwenda jimboni kwake wakati kasimamishwa

2. Posho za jimbo ni muhimu alipwe afanye kazi mara mbili zaidi afidie kipindi aliposimamishwa
 
hoja ya vikwazo ni nzuri,inabidi tujadili mambo kwa kina,bila kutia vikorobwezo vya ushabiki.
 
Alikuwa ni mwalimu wa somo la uraia nchi nzima hii kazi ni kubwa kuliko hata ya jimbo
 
Alikuwa ni mwalimu wa somo la uraia nchi nzima hii kazi ni kubwa kuliko hata ya jimbo
tunajenga nchi vipi kwa kugeuza matumizi ya pesa kutoka kwenye mipango halali? lini tutaisimamia hii nchi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…