Napinga: Hivi CAG Ana watu wenye utaalamu na hydropower stations, hakupaswa kutoa msimamo katika Mambo ya kitaalamu

CAG ametoa riport nzuri na kuibua matumizi mabovu na yasiyo na tija katika taasis za serikali , ambapo wa kulaumiwa ni watu wa chini Sana wa hayati Rais Magufuli, hata leo unaweza kukuta watu wamefanya matumizi mabovu ya serikali na sitegemei Rais Samia kuwa na macho 10000 kumulika kila level na kuona kila Baya huku chini, mifumo ni mibovu Sana.

Tuende kwenye mada yangu, Mradi wa umeme wa maji ni mradi ambao unaweza kupunguza Bei ya umeme na uwekezaji wake unatumia pesa nyingi kwa Mara ya kwanza lakini baada ya hapo ngarama za uendeshaji ni ndogo Sana pamoja na matengenezo, mfano kila Mwezi mitambo ya gesi ya kinyerezi unatumia takriban bil 4 za matengenezo/maintenance ambapo ukilinganisha na mtambo wa kidatu wa maji hata milioni 100 haifiki.
Point yangu ni kuwa CAG nataka kujua ametumia wataalamu gani wa HEP kuweza kujua kuwa upembuzi wa mwaka 1970 haufai, ofisi yake Haina wataalamu hao, na TANESCO walishathibitisha kuwa upembuzi ule bado ungeweza kufanya kazi Hadi leo, kwanza niwaambie, katika mito yote nchini Tanzania hakuna mto wenye maji mengi kushinda ama kukaribia RUFIJI river inapojengwa stiglers , Sasa mtasemaje kwamba hauwezi kuzalisha umeme wa kutosha.
Mi ningeomba wataalamu wa Rufiji basin, tanesco Na wengine wake waongelee Hilo suala sio kila kitu kupinga. Huu mradi una manufaa Tanzania mto ule ndo una maji mengi kuliko yote mlitaka tujenge bwawa wapi, ???
Hapa CAG Kama unataka tuende kwenye Gesi ambayo ni yetu lakini tunauziwa sawa, Tpdc anauziwa Gesi na makampuni ya nje yanayochimba Gesi kwetu halaf wao wanawauzia tanesco kuzalisha umeme, kwa Bei kubwa mno, Stiglers tu ndo inaweza kuikomboa tanesco Na watanzania, haya magesi ya muhongo hayafai
Mkuu,
Usisumbuke kuhoji, hiyo report imelenga kuua legacy ya Magufuli ili ccm maslahi iingize ajenda zake. Na hii ni fursa ya kipekee kwao Kabla hatujashituka. Ndiyo maana saizi kila projects zilizoanzishwa na hayati Magufuli imepangwa kuhubiriwa hazina tija, cha kujiuliza why Bandari ya bagamoyo imekuja kwa kasi sana? Kwanini akina ndugu wageuge muda huu, au kwanini report hii haijagusa ofisi ya makamu wa raisi ambaye kwa sasa ni raisi? Ndiyo utajua wanasiasa ni wanafiki.
Hawa watu wanatuona kama sisi tulikuwa hatupo Tanzania, shame in them
 
CAG ametoa riport nzuri na kuibua matumizi mabovu na yasiyo na tija katika taasis za serikali , ambapo wa kulaumiwa ni watu wa chini Sana wa hayati Rais Magufuli, hata leo unaweza kukuta watu wamefanya matumizi mabovu ya serikali na sitegemei Rais Samia kuwa na macho 10000 kumulika kila level na kuona kila Baya huku chini, mifumo ni mibovu Sana.

Tuende kwenye mada yangu, Mradi wa umeme wa maji ni mradi ambao unaweza kupunguza Bei ya umeme na uwekezaji wake unatumia pesa nyingi kwa Mara ya kwanza lakini baada ya hapo ngarama za uendeshaji ni ndogo Sana pamoja na matengenezo, mfano kila Mwezi mitambo ya gesi ya kinyerezi unatumia takriban bil 4 za matengenezo/maintenance ambapo ukilinganisha na mtambo wa kidatu wa maji hata milioni 100 haifiki.
Point yangu ni kuwa CAG nataka kujua ametumia wataalamu gani wa HEP kuweza kujua kuwa upembuzi wa mwaka 1970 haufai, ofisi yake Haina wataalamu hao, na TANESCO walishathibitisha kuwa upembuzi ule bado ungeweza kufanya kazi Hadi leo, kwanza niwaambie, katika mito yote nchini Tanzania hakuna mto wenye maji mengi kushinda ama kukaribia RUFIJI river inapojengwa stiglers , Sasa mtasemaje kwamba hauwezi kuzalisha umeme wa kutosha.
Mi ningeomba wataalamu wa Rufiji basin, tanesco Na wengine wake waongelee Hilo suala sio kila kitu kupinga. Huu mradi una manufaa Tanzania mto ule ndo una maji mengi kuliko yote mlitaka tujenge bwawa wapi, ???
Hapa CAG Kama unataka tuende kwenye Gesi ambayo ni yetu lakini tunauziwa sawa, Tpdc anauziwa Gesi na makampuni ya nje yanayochimba Gesi kwetu halaf wao wanawauzia tanesco kuzalisha umeme, kwa Bei kubwa mno, Stiglers tu ndo inaweza kuikomboa tanesco Na watanzania, haya magesi ya muhongo hayafai
CAG sio mtu, ni taasisi!! Nyuma yake kuna kila mtaalam unaye mjua.
 
Kuna rafiki yangu usiku wa kuamkia leo saa 1 alinitumia msg kunionesha hio ishu akiwa anafurahia. Nikamuuliza swali hadi sasa kashindwa kujibu, je ndege hizo hazina spea hata CAG aseme kuwa hazitengenezeki? Maana 787 ni ndege ya juzi tu katia line ya boeing, hizo bombardie nazo za juzi tu, sasa feni likiharibika, CAG anatwambia haitotengenezeka :D Alichoweza kuniambia ni kuwa CAG ndio kasema!
CAG wetu amekua zaidi hata ya Google,

Kila kitu anajua,
 
Ndio maana nikamuuliza anahisi ile ofisini ni ya wacheza ngoma? Pia ili watoe ushauri wao ni lazima wazingatie Best practice hawakurupuki.
Nakubaliana na wewe. Sema watu wameingiza siasa kwenye taaluma.

NB: Mpaka leo namkumbuka Assad yaliyo mkuta.
 
CAG ametoa riport nzuri na kuibua matumizi mabovu na yasiyo na tija katika taasis za serikali , ambapo wa kulaumiwa ni watu wa chini Sana wa hayati Rais Magufuli, hata leo unaweza kukuta watu wamefanya matumizi mabovu ya serikali na sitegemei Rais Samia kuwa na macho 10000 kumulika kila level na kuona kila Baya huku chini, mifumo ni mibovu Sana.

Tuende kwenye mada yangu, Mradi wa umeme wa maji ni mradi ambao unaweza kupunguza Bei ya umeme na uwekezaji wake unatumia pesa nyingi kwa Mara ya kwanza lakini baada ya hapo ngarama za uendeshaji ni ndogo Sana pamoja na matengenezo, mfano kila Mwezi mitambo ya gesi ya kinyerezi unatumia takriban bil 4 za matengenezo/maintenance ambapo ukilinganisha na mtambo wa kidatu wa maji hata milioni 100 haifiki.
Point yangu ni kuwa CAG nataka kujua ametumia wataalamu gani wa HEP kuweza kujua kuwa upembuzi wa mwaka 1970 haufai, ofisi yake Haina wataalamu hao, na TANESCO walishathibitisha kuwa upembuzi ule bado ungeweza kufanya kazi Hadi leo, kwanza niwaambie, katika mito yote nchini Tanzania hakuna mto wenye maji mengi kushinda ama kukaribia RUFIJI river inapojengwa stiglers , Sasa mtasemaje kwamba hauwezi kuzalisha umeme wa kutosha.
Mi ningeomba wataalamu wa Rufiji basin, tanesco Na wengine wake waongelee Hilo suala sio kila kitu kupinga. Huu mradi una manufaa Tanzania mto ule ndo una maji mengi kuliko yote mlitaka tujenge bwawa wapi, ???
Hapa CAG Kama unataka tuende kwenye Gesi ambayo ni yetu lakini tunauziwa sawa, Tpdc anauziwa Gesi na makampuni ya nje yanayochimba Gesi kwetu halaf wao wanawauzia tanesco kuzalisha umeme, kwa Bei kubwa mno, Stiglers tu ndo inaweza kuikomboa tanesco Na watanzania, haya magesi ya muhongo hayafai
Inaonekana mambo yanayo husu taarifa za taaluma uko mbali nazo.CAG ni taasisi inayo sheheni taaluma nyeti kama unahitaji kuelewa zaidi mtembelee akueleweshe na usome draft zake majibu utayapata sio hapa jamvini.
 
Kuna rafiki yangu usiku wa kuamkia leo saa 1 alinitumia msg kunionesha hio ishu akiwa anafurahia. Nikamuuliza swali hadi sasa kashindwa kujibu, je ndege hizo hazina spea hata CAG aseme kuwa hazitengenezeki? Maana 787 ni ndege ya juzi tu katia line ya boeing, hizo bombardie nazo za juzi tu, sasa feni likiharibika, CAG anatwambia haitotengenezeka :D Alichoweza kuniambia ni kuwa CAG ndio kasema!

Kwa hiyo wewe unachojua ni kuwepo kwa spea tu.

Mataga,
Magufuli keshakufa tuna rais mwingine tena bahati nzuri kwenu ni wa hukohuko CCM.
 
Mjomba ndege sio gari kuna kipindi lazima ziende gereji kuu na hko gereji kuu ndio nyumbani kwa mkulima anae Tudai ata zidaka !
Ata sehemu nyingine za Ulaya haziwezi kwenda zitadakiwa angani!
Dunia watu wanaishi kwa akili sio ubabe ubabe kafanyie ndani kwako!
 
Sasa Kama Mto wenye maji mengi kuliko yote Tanzania huwezi kujenga bwawa, sijui likajengwe wapi. Tunahitaji mjadala mkubwa kwenye hili
 
CAG ametoa riport nzuri na kuibua matumizi mabovu na yasiyo na tija katika taasis za serikali , ambapo wa kulaumiwa ni watu wa chini Sana wa hayati Rais Magufuli, hata leo unaweza kukuta watu wamefanya matumizi mabovu ya serikali na sitegemei Rais Samia kuwa na macho 10000 kumulika kila level na kuona kila Baya huku chini, mifumo ni mibovu Sana.

Tuende kwenye mada yangu, Mradi wa umeme wa maji ni mradi ambao unaweza kupunguza Bei ya umeme na uwekezaji wake unatumia pesa nyingi kwa Mara ya kwanza lakini baada ya hapo ngarama za uendeshaji ni ndogo Sana pamoja na matengenezo, mfano kila Mwezi mitambo ya gesi ya kinyerezi unatumia takriban bil 4 za matengenezo/maintenance ambapo ukilinganisha na mtambo wa kidatu wa maji hata milioni 100 haifiki.
Point yangu ni kuwa CAG nataka kujua ametumia wataalamu gani wa HEP kuweza kujua kuwa upembuzi wa mwaka 1970 haufai, ofisi yake Haina wataalamu hao, na TANESCO walishathibitisha kuwa upembuzi ule bado ungeweza kufanya kazi Hadi leo, kwanza niwaambie, katika mito yote nchini Tanzania hakuna mto wenye maji mengi kushinda ama kukaribia RUFIJI river inapojengwa stiglers , Sasa mtasemaje kwamba hauwezi kuzalisha umeme wa kutosha.
Mi ningeomba wataalamu wa Rufiji basin, tanesco Na wengine wake waongelee Hilo suala sio kila kitu kupinga. Huu mradi una manufaa Tanzania mto ule ndo una maji mengi kuliko yote mlitaka tujenge bwawa wapi, ???
Hapa CAG Kama unataka tuende kwenye Gesi ambayo ni yetu lakini tunauziwa sawa, Tpdc anauziwa Gesi na makampuni ya nje yanayochimba Gesi kwetu halaf wao wanawauzia tanesco kuzalisha umeme, kwa Bei kubwa mno, Stiglers tu ndo inaweza kuikomboa tanesco Na watanzania, haya magesi ya muhongo hayafai
Mwendazake alimshirikisha mganga wake kwenye kujenga hilo bwawa ili aibe kma kawaida yake
 
Kumbe zinatengenezeka, kwaio CAG amewapotosha watanzania na viongozi wake kwa ujumla kwa kudai kuwa zikiharibika hazitotengenezeka.
Kwaiyo adi sasa hujaelewa kwamba hazitengeneki!!!!
Nina kazia hazitengeneki!!! Madeni tunayo daiwa ni makubwa kuliko thamani ya hizo ndege!!
Utafanyaje waki kamata ndege moja ukamlipa deni la kununulia ndege tatu ukarudishiwa ndege moja apo imetengeneka sio!!! ?
 
Kwa hiyo wewe unachojua ni kuwepo kwa spea tu.

Mataga,
Magufuli keshakufa tuna rais mwingine tena bahati nzuri kwenu ni wa hukohuko CCM.
Hukutoa jibu bado na wewe unazunguka. Ndege ikihaibiki vipi haitengenezeki?
 
Mkuu CAG anawataalamu wa kila aina na wapo well trained, watumishi wa ofisi yake wameendelezwa kielimu.
Hata sisi huku uraiani tupo well trained and well informed as well so they should put their house inorder "wanapotoa " ripoti zao.
 
Back
Top Bottom