Napinga CWT kukusanya maoni ya walimu ya kuunda bodi ya walimu

Ahsante kwa taarifa... Ngoja tuone...

Loan board wamegoma kuondosha penalty na VRF ,CWT wapo kimya wakati madhumuni ya kuanzishwa kwake ni kutetea maslahi ya wafanyakazi ,nashauri jtatu CWT waende Loan board ili watatue hii changamoto
 
CWT inatakiwa ipunguze makato wanayokata watumishi kutoka asilimia 2%hadi 1%
Wala wasipunguze
Waache kukata walimu na hii CWT ivunjwe
Haimsaidii Mwalimu

bora hata hio 2% iwe special kwa ajili ya walimu na iende PSSSF hata wakistaafu wapewe

waulize walimu wenyewe CWT inawasaidia nini ndio utaelewa
Hamna kitu pale
 
Back
Top Bottom