Napika chapati nzuri wajameni

Napika chapati nzuri wajameni

Jamani napika chapati nzuri....ila kama unataka ule chapati zinazochambuka na ni hot and fresh please book me for weekends ili nikuletee kwako au nikupikie nyumbani kwako so that you can enjoy the best chapati you have never tasted before.

Jack! Bado hujaenda kusoma ile masters? Au unabadilisha fani na kuwa mjasiriamali wa kutupikia "vyapati" magetoni kwetu?😀
 
Ni pm tafadhali nahitaji chapati mamie
 
Jamani napika chapati nzuri....ila kama unataka ule chapati zinazochambuka na ni hot and fresh please book me for weekends ili nikuletee kwako au nikupikie nyumbani kwako so that you can enjoy the best chapati you have never tasted before.
Uko wapi na sh ngap chapat mamy? 0755661541.
 
wewe ni me/ke?

Mi ni mwanamke...ila msitafsiri vibaya....ninapika chapati kweli ila ninafanyia preparation nyumbani na kutengeneza madonge ambayo kama wewe unataka straight from the pan and not kitu kilichopoa then book me nikupikie kwako. Au kama hauna facility nzuri, i can bring it at near by bus stop from where you are living.
 
Jamani napika chapati nzuri....ila kama unataka ule chapati zinazochambuka na ni hot and fresh please book me for weekends ili nikuletee kwako au nikupikie nyumbani kwako so that you can enjoy the best chapati you have never tasted before.
Nakushauri uvae nguo za stara unapokwenda kupika chapati kwenye nyumba au magheto ya watu,la sivyo usije anzisha uzi kule MMU kuomba ushauri wa kugegedwa au kubakwa.
Samahani lakini!!
 
una mgahawa au sehemu yoyote unayo peleka kuuza?
kamaipo itakuapoazaidi kama ukitutangazia tuje kuprove huo uzuri kwanza kabla yakuweka order chapati 10 ambazo sina uhakika kama zitanifanya niendelee kutamani chapati..
 
Nataka Andaz au kitumbua sijui ntavipata mkuu?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom