The Businessman
JF-Expert Member
- Jan 9, 2014
- 7,397
- 9,264
Habari wakuu,
Toka jana napigiwa simu na hiyo namba ni zaidi ya mara 4 napokea lakini hakuna sauti inayosikika.
Naomba maelezo kama kuna mtu naye anapigiwa, natumia mtandao wa Vodacom.