Napiga picha za bidhaa zenye ubora

Napiga picha za bidhaa zenye ubora

Mbona wadau hawajaleta mrejesho? Haya hizi picha zingine mbili tatu. Fungueni macho, tuache kufanya biashara kwa mazoea. Hivi ndiyo wakubwa wanajitofautisha na wadogo na matokeo yanaonekana mfukoni.

image.jpeg
image.jpeg
 
Kwanini usingeweza hata kutoa bei ya hizi.
Niunganishe na watengenezaji wa hizo handbags maana kiukweli umezibadili kiwango nazihitaji.
 
Kwanini usingeweza hata kutoa bei ya hizi.
Niunganishe na watengenezaji wa hizo handbags maana kiukweli umezibadili kiwango nazihitaji.

Kwa handbags/nguo/viatu, nina package ya chini ya kuanzia 25,000/= na hiyo package ni kwa hadi items 10. Volume ikiwa kubwa, bei ya package inapungua kidogo.
 
Kingine, ili kumrahisishia mteja, naweza kuja kupiga picha popote bidhaa zilipo (kama ni umbali mrefu nje ya mji, kutakuwa na ongezeko kidogo la gharama kufidia gharama za usafiri) lakini pia unaweza kuniletea kama hiyo ni rahisi kwako.
 
IMG-20171121-WA0017.jpg
IMG-20171121-WA0000.jpg
Sample zingine za kazi zangu hizi. Ninazo nyingi lakini kwa sababu ya makubaliano na wateja, kuna ambazo siwezi kuzionyesha hapa.
 
Hakika mleta mada ana hoja ya msingi tusimbeze.

Ni upungufu mkubwa nimeuona kwa watu wanaotangaza biashara mitandaoni hapa TZ. Tunadhani haya mambo yanaweza kufanywa na makampuni makubwa tu wakati tupo watu tunaoweza kusaidia kwa gharama nafuu sana.
 
Shukrani muheshimiwa. Kwa nini ilidhani sipo serious?
Pale ulipokuwa umetuma maelezo bila picha, na pia nikitaka nione upekee/ubora wa upigaji picha utakaoleta mvuto kibiashara, and with those few pics na justification ya why hutumi nyingi (customer confidential agreements) nimeshawishika kuwa upo serious hukuwa unatania
 
Pale ulipokuwa umetuma maelezo bila picha, na pia nikitaka nione upekee/ubora wa upigaji picha utakaoleta mvuto kibiashara, and with those few pics na justification ya why hutumi nyingi (customer confidential agreements) nimeshawishika kuwa upo serious hukuwa unatania

Nimekupata mzee. Ningependa sana kuifanya kwa large scale kwa sababu wenye mahitaji ni wengi na naweza kuwa fast. Sijui una ushauri gani?
 
Nimekupata mzee. Ningependa sana kuifanya kwa large scale kwa sababu wenye mahitaji ni wengi na naweza kuwa fast. Sijui una ushauri gani?
Pia unaweza kufanya survey kwenye hii section ya "matangazo madogo" ukapick zile adverts/matangazo yaliyo fail (ambayo haya attract attention ya wana jf) kisha ukawaendea pm wahusika ukiwa na samples za modification ya matangazo yao, naamini ukifanya hivyo utafanikiwa. Pia unaweza kuwa ni mtu wa kutafuta biashara adimu/unique mijini madukani (kuna watu wanauza vitu exceptional ila hawafanyi advertisement) ukaongea nao na kuwaelimisha umuhimu wa kuitangaza biashara, ukawapa na offer ya punguzo kwa matangazo ya awali. Ukishakuwa na sub contract ya kutangaza bzness tumia forums tofauti tofauti eg jf, jumia etc. Mie cna uzoefu wa biashara kwa hiyo huu ni ushauri wa level ya chini kuna mambo naweza kuwa cjazingatia

Regards

M
 
Keynez, mimi nimefurahishwa na vitu viwili sasa.
1)Mtengenezaji wa hizi bags-high quality
2)Picha zako ni high quality
Lakini biashara kama ulivyosema awali ni matangazo na hivyo basi kwenye kujitangaza weka njia zote za kukupata kirahisi.
Ila sasa hii bei uliyoweka nimesoma mara mbili sikuelewa vizuri ila naona ni bei ya kuzipiga picha.
Je hawa wenye bags hawataki kujulikana pia ?Hata kama hawataki picha za ma bag yao yatolewe.
Mimi nakushauri uende kwenye ofisi za ubalozi hata kama 25 tu uwaambie wakiwa na shughuli bei zako ni hizo na ukawaachia sampe ya picha na simu yako ya 24/7 kazi utazipata. Mimi nitajitahidi kuwapa watu contacts zako.
 
Keynez, mimi nimefurahishwa na vitu viwili sasa.........

Asante sana rakeyescarl. Nitafuata ushauri wako wa kwenda balozi mbalimbali. Kwa hilo ulikuwa unaongelea kupiga picha za events wanazoandaa, siyo?

Nitaupdate post ya kwanza kuongeza email na information zingine zinazonihusu.

Kuhusu ninaowapigia picha, kila mtu unajua ana njia zake za kujitangaza, wengine wana websites, wengine wanapeleka kwenye mitandao kama amazon, ebay, nk. Kuna walio ok kuzitumia kwa mimi kujitangaza lakini kuna ambao hawapendelei (labda kuepuka watu kucopy design zao). Lakini you are right, kwa kawaida ukifikiria ni kwamba watafaidika kwa mimi kuonyesha bidhaa zao.

Nimekuwa natafakari na kuresearch uwezekano wa kuanzisha platform itakayokuwa ina market vitu kama hivi huku nikichukua jukumu siyo tu la kuiendesha lakini pia la kupiga picha mwenyewe za bidhaa zinazowekwa ili iwe kwenye standard fulani hivi. Bado naliangalia hilo kwa sababu linahitaji mtaji. Nikisema nipige picha na kuiendesha huku wauzaji wakiuza wenyewe, ina ugumu wake fulani (ingawa it's still possible) kumaintain standard ya service itakayokuwa inatolewa kwa vitu kama delivery time, uaminifu wa malipo, ubora wa bidhaa, nk.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom