Eeka Mangi
JF-Expert Member
- Jul 27, 2008
- 3,173
- 486
Mh huyo mama ni kahaba mkubwa.
Ndiom maana binti kamtolea nje .
Mpotezee kabisa aije mfundisha binti uchangu
Mtafutie coart injunction (sina uhakika na spelling) ila ni pingamizi la mtu kujihusisha, kushiriki wala kuwa na mahuriano yeyote na akikiuka unaweza kutaja injunction unayotaka au mahakama ikakushauri. Huyo ni tapeli hata kama ni mama yake wa kumzaa, pata ushauri wa Ustawi wa Jamii ili upate official documents za kum-adopt huyo mtoto, na kwakuwa ni ridhaa ya mtoto, please fanya hivyo. mama anataka mali. Pia mshirikishe mtoto haraka kama ndivyo alivyoamua, basi mali hizo zibadilishwe mmiliki na awe familia/wewe kama msimamizi kama matakwa yake yanavyosema. Huyo ni mtoto wako na si vinginevyo, jiweke sawa kisaikpolojia kumpenda na kumtunza huyo mtoto na ondoa kabisa katika mazungumzo yenu kuwa huyo si mtoto wako. OK!Sikutaka hata kumsikiliza tena!
Mtafutie coart injunction (sina uhakika na spelling) ila ni pingamizi la mtu kujihusisha, kushiriki wala kuwa na mahuriano yeyote na akikiuka unaweza kutaja injunction unayotaka au mahakama ikakushauri. Huyo ni tapeli hata kama ni mama yake wa kumzaa, pata ushauri wa Ustawi wa Jamii ili upate official documents za kum-adopt huyo mtoto, na kwakuwa ni ridhaa ya mtoto, please fanya hivyo. mama anataka mali. Pia mshirikishe mtoto haraka kama ndivyo alivyoamua, basi mali hizo zibadilishwe mmiliki na awe familia/wewe kama msimamizi kama matakwa yake yanavyosema. Huyo ni mtoto wako na si vinginevyo, jiweke sawa kisaikpolojia kumpenda na kumtunza huyo mtoto na ondoa kabisa katika mazungumzo yenu kuwa huyo si mtoto wako. OK!
Haha haaa labda bana siwezi juaAisee wewe ni mume wangu nini??? Maana hiyo story mmmhhh inanihusu sana hebu ngoja kwanzaaaa
Dah!
Hongera kwa moyo ulionao wa kumlea huyo binti.
Hili suala lako limekaa kisheria zaidi.
Nafikiri ungepata mwanasheria akueelezea kwa case hiyo inakuwaje.
Inawezekana mtoto akamkana mama yake wakati sheria inamtambua yule mama na haki zote dhidi ya mwanae bila kujali alichokifanya.
Kwa wakati huu usiwe karibu na huyo mama na wala unapoishi asipajue.
Kuna watu wana roho ngumu, kama huyo mama hakuwepo ndugu zake walishindwa kufatilia maendeleo ya mtoto.
Pole sana, na mungu akutie nguvu.
Hesabu zake ziko kwenye properties za huyo binti. Utakapomuunganisha na binti, atakachomfanya hutakaa usahau ktk maisha yako kwani obviously ataishia kumuua. Sikiliza sauti ya mtoto na kwa ulichokiona ctarajii kama utafanya kosa.Sikutaka hata kumsikiliza tena!