Napewa talaka mie unlucky

sasa si amesema mpaka mwanao wa miezi mi nne afke miezi 10 ndo akupe talaka!sasa katka miez hyo cta muoneshe mahaba ya dhat na wala ucogope kum-bemenda mwanao...mwnyw atabdl maamuz
<br />
<br />
khaaa! Yaani ambemende mtoto kisa baba aridhishwe! Kama mapenzi yameisha yameisha tu.
 
Mbona unamshambulia sana huyu dada? Unasemaje kuhusu mambo anayofanyiwa na mumewe?

katavi nafikiri alichotaka kumaanisha Ndechuwa ni kuwa kabla ya kufikiria sheria huyu dada wameshajaribu kurescue ndoa through mazungumzo au kupitia mabaraza ya usuluhishi kwanza ambayo hujumuisha na vile vikao vya wazee ndani ya familia hizi mbili? Lah sivyo akienda moja kwa moja mahakamani kudai talaka anawezaulizwa vithibitisho toka mabaraza ya usuluhishi kama kweli ndoa hii imeshindikana! Nadhani kuna kitu kama hicho, ingawaje kama wamedhaminira bado ndoa yawezavunjwa
 
mkuu mabandiko ya HOLLY BIBLE hayana talaka, huyu ni muislam ndo maana kwao kuna sheria ya talaka, bilashaka umpatie mistari ya kisheria zaidi. ila maneno mazuri haya kama atayafanyia kazi.

Umesahau ile isemayo Na mtu asimwache mkewe ila kwa habari ya uasherati tu?! Si talaka hiyo au?
 
Mimi haya mambo ya sheria nilikuwa siyaelewi, nahisi umepewa ushauri mzuri.
Kitu ambacho ninsingekushauri, ni kukaa unapakata miguu na "kusubiri Mungu akuhukumie".
Changamka, chakarika, vinjari kutetea haki zako. Mungu yupo kwa nyinyi nyote, sio wewe unasubiri Mungu wakati mwenzako anakumaliza kiafya na kiakili (kwa kisago na vitisho).

Nimekumbuka kisa cha jamaa ambaye kuna mwizi alikuwa anamwibia mara kwa mara. Majirani wakamshauri amwachie Mungu atamlipia. Baada ya miaka 5 kupita bila kuona malipo ya Mungu, siku moja akaamua kumvizia mwizi wake, akampiga na kumjeruhi vibaya. Majirani walipomwuliza kwa nini aliamua vile akajibu aliona Mungu anachelewa na mwizi alikuwa anaendelea kuiba. Huyu jamaa kama angesubiri hukumu ya Mungu, pengine angesubiri na kulipwa ahera.

Cha kufanya dada, usisubiri mpakaakupeleke kaburini. Ya Mungu mwachie Mungu lakini yaliyoko katika uwezo wako yafanye mwenyewe, SASA, LEO KABLA YA KESHO:

Kwa ushauri huo mpe na mawasiliano yako ili akishakosa mume akutafute
 
Pole sana dada yangu kwa yote uliyokutana nayo, muhimu tu kuwa mjasiri sana tena sana.
Unajua mwanamke unapoolewa unapaswa kuwa na msimamo, bila hivyo utanyanyasika sana dada yangu, na ninaomba ujifunze kuwa na msimamo mbele ya mwanaume sio huyo tu hata kesho na keshokutwa utakapokuwa umeolewa kwingine,
nakupa good example, Mie nimeolewa na ni mama wa watoto wawili, mume wangu anafanya kazi nani nafanya kazi, kabla hatujafunga ndoa alinikuta nina kila kitu mpaka mashuka ya kulalia hajanunua mpaka leo tunatumia niliyonunua mimi, Ok nilimpenda sana hivyo mali sikuona kama ni kigezo cha yeye kutonioa, akaenda kwa wazazi akatoa mahari tukafunga ndoa, baada ya mwaka mmoja na nusu akaja mdogo wangu akiitaji msaada wa karo, nami nikamuahidi kumsaidia pindi tu nitakapopokea mshahara, Mume wangu akaja juu akaupangia majukumu mshahara wote hata kabla sijaupokea, na kuniambia kuwa ukimpa mdogo wako karo nakupa talaka, inabidi unisikilize mie na sio wazazi wako tena na ndugu zako, zogo likawa zogo ndani ya nyumba, siku tatu hakuna maelewano, nikaona sasa huu ni utumwa, nikamwita na kumweka chini nikamwambia wewe una nafasi yako kama mume wangu, na mdogo wangu ana nafasi yake kama mdogo wangu naomba talaka yangu leo tuachane na pesa hii hapa namtumia sasa hivi karo huku pesa nikiwa nimeshika mkononi,m mwanaume hakujibu nikatuma hile pesa hapo hapo nikajiandaa kwa hiyo talaka, kwa sababu nilijua mwisho wa hili ndio mwanzo wa hilo, Mwanaume hakusema chochote kwa muda wa siku mbili, siku ya tatu akachangamka na kunijali kama vile sio yeye aliyeleta upuuzi mwanzoni na maisha yakasonga.
Nimekupa mfano huo wewe kama mwanamke naomba ujiamini, usijidharau, usilie sana, waswahili wanasema kuvunjika kwa koleo sio mwisho wa ..................!! Chonde chonde simama imara mama, mpaka mnafikishana police mapenzi hamna tena omba talaka yako, nenda kwenye vyombo vya sheria dai haki yako, tena ndio mkimbizi wala asikubabaishe hata kidogo, kama hauna kazi hata biashara halali utafanya mama utanunza watoto wako na watakusaidia mbeleni. Nimeandika kwa uchungu sana na hilo jina hapo badilisha kama ulivyoambiwa na waungwana, nakutakia kila rakheri Muhimu kuwa na msimamo.
 
Pole sana dada yangu.Ingawa lawama sio nzuri sana,lakini kwa hili nitakulaumu.Dada yangu ulifanya kosa kubwa kwenda Polisi.Let me be clear,huu u-Beijing utawaponza sana.Kwa hili ulitakiwa kumshitaki kwa ndugu zake, kikao cha wanandugu kikae na kumuonya kama ana kosa.Hata kama ningekuwa mimi it would be the end of the story.Kwa sasa ushauri wangu ni nini,nenda kwa ndugu zake,kiri kosa ulilolifanya,then omba msamaha kwake.mbele ya ndugu zake.Kama bado ubinadamu upo atakusamehe.Kama aki-insist muachane,hakuna jinsi, use legal means available kugawana mali na kupata custody ya watoto.Ila kumbuka kisheria kama watoto ni miaka saba or more na yeye anaruhusiwa kukaa nao,kama ikionekana kwamba watoto watakuwa safe.Kama wako less less than seven years wewe ndiye custodian,labda ionekana kwamba kwa sababu moja au nyingine uwezo huo huna.
habari zenu wapendwa nadhani mlisoma story yangu yote na mume wangu haya sasa imefikia siku tena huyu bwana kanitafutia sababu eti hawezi kuishi na mimi kisa alinipiga wakati na mimba miezi nane nikaenda polisi lakini hakutiwa mbaroni leo ananitolea sababu hiyo kama umenivunja moyo sina mapenzi tena na wewe kisa hiyo sababu ya kwenda polisi watoto anataka kuwachukua anasubiri mtoto wangu wa miezi minne awe miezi 10 ndo anipe hiyo talaka,sasa jana binamu yake kaniambia kama huyu bwana anataka kuoa ndo mana wewe anakutafutia sababu dah roho inaniuma sana nimeteseka miaka sita hamna mapenzi nimechuma nae alikuwa maskini leo katajirika sasa anaenda kumuoa malaya anaedance clubs jamani naomba mnishauri niende wapi serekalini anipe jasho langu na hawa watoto pia nipate mimi na pia nataka huyu mtu atolewe kabisa hapa dar asiishi tena yani nimkomoe haswa kanitesa sana nimehangaika sana nae mpaka leo ana uwezo naomba mnisaidie dada judith upo
 
WAHI KWENYE VYOMBO VYA SHERIA KILA MALI MLIYOCHUMA WOTE MTAGAWANA NA ATAKUACHIA WATOTO WAKO NA KUWAPA HELA YA MATUMIZI. tahadhari usimdai talaka muache akupe yeye
<br />
<br />

mmmh we ndo unaharibu kabisa
 
Pole dada yangu, nakushauri umuache tu, cha msingi uende ustawi wakuwekee mpango madhubuti wa kulea watoto, kama una kazi nakushauri acha kila kitu,anza upya ulee wanao vizuri na watakua bila shida.mi yamenitokea na nikaacha kila kitu nikaanza upya.hadi sasanaishi na wanangu wote .wanasoma,wanakula, wanakunywa bila shida yoyote.
 
jamani hizi ndoa lol pole mpendwa wangu ,yaani huyu mmeo anakutafutia visababu visivyo na kichwa wala miguu mradi tu muachane,umejaribu kuwashilikisha wazazi wake? umejaribu kuomba msaada kwa washauri wa ndoa yenu na je umejaribu kuomba msaada wa kikanisa ?
 
Pole sana dada yangu kwa yote uliyokutana nayo, muhimu tu kuwa mjasiri sana tena sana.
Unajua mwanamke unapoolewa unapaswa kuwa na msimamo, bila hivyo utanyanyasika sana dada yangu, na ninaomba ujifunze kuwa na msimamo mbele ya mwanaume sio huyo tu hata kesho na keshokutwa utakapokuwa umeolewa kwingine,
nakupa good example, Mie nimeolewa na ni mama wa watoto wawili, mume wangu anafanya kazi nani nafanya kazi, kabla hatujafunga ndoa alinikuta nina kila kitu mpaka mashuka ya kulalia hajanunua mpaka leo tunatumia niliyonunua mimi, Ok nilimpenda sana hivyo mali sikuona kama ni kigezo cha yeye kutonioa, akaenda kwa wazazi akatoa mahari tukafunga ndoa, baada ya mwaka mmoja na nusu akaja mdogo wangu akiitaji msaada wa karo, nami nikamuahidi kumsaidia pindi tu nitakapopokea mshahara, Mume wangu akaja juu akaupangia majukumu mshahara wote hata kabla sijaupokea, na kuniambia kuwa ukimpa mdogo wako karo nakupa talaka, inabidi unisikilize mie na sio wazazi wako tena na ndugu zako, zogo likawa zogo ndani ya nyumba, siku tatu hakuna maelewano, nikaona sasa huu ni utumwa, nikamwita na kumweka chini nikamwambia wewe una nafasi yako kama mume wangu, na mdogo wangu ana nafasi yake kama mdogo wangu naomba talaka yangu leo tuachane na pesa hii hapa namtumia sasa hivi karo huku pesa nikiwa nimeshika mkononi,m mwanaume hakujibu nikatuma hile pesa hapo hapo nikajiandaa kwa hiyo talaka, kwa sababu nilijua mwisho wa hili ndio mwanzo wa hilo, Mwanaume hakusema chochote kwa muda wa siku mbili, siku ya tatu akachangamka na kunijali kama vile sio yeye aliyeleta upuuzi mwanzoni na maisha yakasonga.
Nimekupa mfano huo wewe kama mwanamke naomba ujiamini, usijidharau, usilie sana, waswahili wanasema kuvunjika kwa koleo sio mwisho wa ..................!! Chonde chonde simama imara mama, mpaka mnafikishana police mapenzi hamna tena omba talaka yako, nenda kwenye vyombo vya sheria dai haki yako, tena ndio mkimbizi wala asikubabaishe hata kidogo, kama hauna kazi hata biashara halali utafanya mama utanunza watoto wako na watakusaidia mbeleni. Nimeandika kwa uchungu sana na hilo jina hapo badilisha kama ulivyoambiwa na waungwana, nakutakia kila rakheri Muhimu kuwa na msimamo.

Nimefurahia story yako, wanawake wote wakigeuka wakawa kama weye nakuapia 2% tu ya wanawake Afrika watanyanyasika kutoka katika 88% ya sasa ya wanaonyanyasika, mwanamme kwa hakika ukimwonyesha unamsimamo,ni wachache sana ambao wataendelea kujitia kichwa ngumu...saying this from experience coz mimi ni mwanaume pia
 
habari zenu wapendwa nadhani mlisoma story yangu yote na mume wangu haya sasa imefikia siku tena huyu bwana kanitafutia sababu eti hawezi kuishi na mimi kisa alinipiga wakati na mimba miezi nane nikaenda polisi lakini hakutiwa mbaroni leo ananitolea sababu hiyo kama umenivunja moyo sina mapenzi tena na wewe kisa hiyo sababu ya kwenda polisi watoto anataka kuwachukua anasubiri mtoto wangu wa miezi minne awe miezi 10 ndo anipe hiyo talaka,sasa jana binamu yake kaniambia kama huyu bwana anataka kuoa ndo mana wewe anakutafutia sababu dah roho inaniuma sana nimeteseka miaka sita hamna mapenzi nimechuma nae alikuwa maskini leo katajirika sasa anaenda kumuoa malaya anaedance clubs jamani naomba mnishauri niende wapi serekalini anipe jasho langu na hawa watoto pia nipate mimi na pia nataka huyu mtu atolewe kabisa hapa dar asiishi tena yani nimkomoe haswa kanitesa sana nimehangaika sana nae mpaka leo ana uwezo naomba mnisaidie dada judith upo
1. Kama alikua maskini na umesaidia kumtajirisha naamini mlikua na mradi ambao mmefanya naye au kama ni ushauri pia ni vizuri
2. Sidhani kama akiondolewa mjini itakua ni suala la maana sana coz kila mtu ana maisha yake na kama ni utajiri hata kama apelekwe singida ataendelea kua tajiri
 
3. Kulipiza kisasi sio vizuri ndugu kama amekukosea basi msamehe
4. Kama mtu ameonyesha dalili za kutokukupenda basi ningeomba umuelewe coz hata kama ukilazimisha kuishi nae hautakua na raha maishani coz mapenzi yanaitaje uhuru na sio kupangiwa program au kulazimisha kupenda usikopenda mwisho wa siku utaletewa mwanamke ndani kwako.
5. Cha muhimu waone wanasheria ambao watakusaidia katika mgawanyo wa mali na watoto katika usawa
6. Hapo ndipo na ww utaamua uolewe tena au uishi single, That is up to you
7. Usicomplicate mapenzi yatakutesa sana kama umekaa 6 years kwa shida inaonyesha dhajiri hakuna nafuu huko huendako mwisho wa siku atakuua.
 
sasa si amesema mpaka mwanao wa miezi mi nne afke miezi 10 ndo akupe talaka!sasa katka miez hyo cta muoneshe mahaba ya dhat na wala ucogope kum-bemenda mwanao...mwnyw atabdl maamuz

Mapenzi upofu ataona kama kero hasa kam tayari ana m2 wa nje,,.. unajua madhara yatakayomkuta mtoto? so u mean hana umuhimu hii si sawa apeleke hili kwa wazazi wa kijana ikibidi taasisi ya haki za wanawake atapata ushauri zaidi
 
na mie sina haja ya mali yake coz alivyonioa alikuwa hana chochote na nilikuwa nampenda mpaka nikaolewa nae mimi nitamwachia kila kitu sitaki mungu atanijalia huko mbele duniani hatutachukua kitu chochote vyote tutaacha hapahpa duniani wengine mnanifikria vibaya kama mimi na makosa hapana mie sina makosa mwanaume mwenyewe huyu

Unapaswa kudai 50% wala usiwe na hasira just jiamini i blv ukituliza akili utafanikiwa wala usikurupuke muhimu kuwa mtulivu na upate ushauri kimyakimya kutoka kwa watu wa sheria and usionyeshe changes ndani ya nyumba ili atakapotoa hiyo talaka tayari utakuwa unafahmu nn cha kufanya
 
Nimefurahia story yako, wanawake wote wakigeuka wakawa kama weye nakuapia 2% tu ya wanawake Afrika watanyanyasika kutoka katika 88% ya sasa ya wanaonyanyasika, mwanamme kwa hakika ukimwonyesha unamsimamo,ni wachache sana ambao wataendelea kujitia kichwa ngumu...saying this from experience coz mimi ni mwanaume pia

Nashukuru sasa kaka Dumelang, hivyo huyo mwanamke mwenzangu asimame imara, usilie kila wakati, kidogo tu unalia, leo hiki unalia, kesho kile unalia hutofika mamaaa Ok, Jiamini wewe kama mwanamke utaweza tu mbona wengine wanaweza, maisha ya ndoa yana mtihani mkubwa hivyo jiamini kuwa utaweza na muombe Mungu kwani yuko pamoja nasi.
 
my dia jina hilo ni tatizo naomba nikubatize uwe VICTORIA, usilazimishe mapenzi, na wala usimlalamikie huyo mzazi mwenzio subiri akupe talaka yako na uipokee, ww ni wa thamani sana, Mungu anakupenda na bado anamakusudi na maisha yako, dhahabu lazima ipite kwenye moto, what ahead of you is more important, have confidence na usifanye haraka kuingia kwenye mahusiano mapya tulia na ujipange, najua ww ni binadamu na ni lazima uumie, but have a positive attitude na kila unapoamka asubuhi mwambie Mungu this too shall pass, have faith God is in control
 
nipe namba yake nimtafute kisha nimvunje miguu arudi home then tuanze kumgongea huyo malaya wake dancer wa club kisha tupige nae picha tukimpiga futuring then tumletee mmeo alievunjika miguu mkanda wa video wa demu wake mke mtarajiwa kisha atajua kuwa amekurupuka..lazma ajutie na kutulia na wewe mkewe wa ndoa mliyetoka nae mbali anayetaka kukumwaga mkikaribia kufika mwisho wa safari yenu....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom