Napendwa sana kwanini???

Napendwa sana kwanini???

Habari mabibi na mabwana! Bila kupoteza uhalisia wa topic yangu nikimbie moja kwa moja kwenye mada Kuna jambo linanishangaza sana,nimefanikiwa kuingia kwenye penzi kwa vipindi tofauti tofauti na wanawake tofauti tofauti. Iila cha kushangaza kila mwanamke ninaemdate ananipenda mno hadi nawaonea huruma.

Mwanzo nilijua kwa vile sio mzuri wa sura nikaamua kugeukia upande wa pili nikajipatia katoto kazuri kila mtaa wanamkimbia kwa uzuri alonao mashallaah! Sasa haka ndo kananipenda hadi nataman kukaacha ila roho inaniuma sitaki nikaumize. Sijajua wananipendea nini hawa totos. Nawasilisha
Wanakupenda coz unatembea km wao, una mapozi km yao, na unarembua rembua macho km wao. So Wanawake lazima mpendane that's why
 
Kwahiyo sisi ndio unao tugegeda unatuuliza? Si uwaulize hao unao wazini watakupa jibu ni kipi wanakupendea mpaka unawazini. Watoto wa 2000 mnashida sana nyie. Empty Set kabisa.
haha kwa mashushu tu upoo naona unakaribia kua the list wa pili
 
Back
Top Bottom