Napendwa kweli na wake za watu

waume zao wakikupenda zaidi utaimba olaleyo,,,,,,,,,,,,,,,
 
Si vyema kuombeana mabaya mkuu.
Lakini wananipenda wenyewe mimi nifanyaje sasa? niwaache? hapana huu utakuwa uboya mkuu.
Baba usiwaache baba lkn nawe pia ujiandae kwa lolote,tena ni vyema ktk mishe zako uweke vilainishi mfukoni maana wakikudaka kama huna watakutafuna bila hurumaaaa na hawataweka hata mate
 
hongera mkuu njoo unitembelee kwangu na mke wangu anaweza kukupenda mkuu daa ww ni kidume ee ni pm uje kwangu mkuu
 
Jamaa anapendwa na wake za watu huyooo.... SIFA ZA KIJINGA utakuja kufumuliwa malinda
 

Unanikumbusha babu yangu aliniambia "ukipendwa sana na wake za watu una maisha mafupi humu duniani."
 


Kichwa cha habari sio kizuri, Una bahati ya kupendwa na Kifo.
 
Wabongo bana yaani una risk ya kuaga dunia muda wowote still unaongea kama jambo la kujivunia
 
Mwenye kula lazima aliwe sasa subiri wakati wako wa kupendwa na waume zawatu na wakikushughulikia njoo utuhadithie kama leo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…