Napendekeza Vyuo vipokee nusu ya ada

Suip

JF-Expert Member
Sep 21, 2010
1,314
760
Vyuo na kidato cha sita kufunguliwa Juni mosi na kwa kuwa COVID-19 imeathiri wazazi kiuchumi kwa baadhi ya wazazi ambao ni watumishi katika secta binafsi kusimamishwa kazi na wengine biashara zao kuathiriwa na uwepo COVID-19.

Wazazi na walezi wengi kwa sasa watakosa uwezo wa kulipa ada kikamilifu hivyo wapewe muda wakulipa kwanza nusu ya ada na wamalizie nusu ya pili wanafunzi wanapo karibia kufanya mitihani yao ya mwisho.

Maelekezo hayo yangetolewa na Waziri husika kwani baadhi vyuo hawakubali kusajili wanafunzi wasipolipa ada yote.

Ni ombi tu nawasilisha
 
Kulipa ada kwa awamu ni wazo zuri na lilikuwa linafanyika hata hapo awali kabla ya Corona.
 
Back
Top Bottom