FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 40,516
- 46,602
Kwahiyo ukiwasha king’amuzi hicho itakuja menu ya kampuni unayotaka kuangalia, utachagua either Dstv, Startimes, Azam, Zuku, Digitek nk; na pia endapo kampuni nyingine yeyote itataka kujiunga kuongezwa kwenye menu, inafanyika software update ya kuiongeza automatically unapokiwasha king’amuzi.
Kwahiyo mteja ataenda kununua kadi ya kampuni husika kama anavyonunua laini ya simu, ataisajili na kwenda kuichomeka, sasa kwakua masafa ya kila Kampuni hutofautiana, basi ile dish inayofungwa juu itakuwa na kamotor kadogo ambako kako preprogrammed kuelekeza dish kwenye muelekeo wa masafa wa kampuni husika ambayo kadi yake imechomekwa kwenye king’amuzi, yale mambo ya kuita fundi aje kurekebisha dish yamepitwa na wakati.
Mteja anaweza akawa na kadi za ving’amuzi hata 10 ndani ya nyumba, ila king’amuzi kimoja na dish ni moja tu, yaani hadi raha, italeta upinzani ushindani mzuri sana tofauti na sasa ambapo mtu ana uhakika kwamba king’amuzi chake mdio unacho kwahiyo hata ukikuudhi huna ujanja wa kung’oa dish na kufunga cha kampuni nyingine.
Mtu yeyote anaweza akatengeneza mfumo huu na kuuza ving’amuzi vyake kwa wateja, na hao wateja kazi yao itakuwa ni kwenda kununua kadi za ving’amuzi anavyovipemda, kimachotakiwa ni wamiliki wa kampuni za TV kuzi-unlock kadi zao ili ziweze kusoma kwenye hizi universal decoders.
Pia hii itawezesha kuanzishwa kwa kampuni nyingi sana chipukizi za TV za kulipia, maana tunakuwa tumetengenisha kazi ya kusupply na kufunga madish na ving’amuzi na kazi ya kuuza vipindi vya TV, kwahiyo wewe unaaanzisha tu TV yako na kununua masafa kisha unauza kadi zako za decoder kama laini za simu..., raha sana..
Ni hayo tu...

yake wanayotumia kwaajili ya kurusha matangazo,labda kama kampuni zote ziamue kutumia satellite moja hiyo inawezekana,mfano madishi ya azamu yanaelekea 7°E, Dstv wanaelekeza South,startimes etc...