Napenda wanawake wenye vitambi

Ukweli ni lazima uwekwe hadharani jamani. Weye ni mstaarabu na muungwana sana usibadilike hata chembe.
Siwezi kubadilika jamani!! Nitaanzaje kwa mfano
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] halafu hakuna kugeuka nyuma mbele kwa mbele na ukiwa na miwani yako ndiyo unauwa kabisa [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Hahaha
Nakuwaga serious aki
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mvua hizi duh! Tunasubiri mrejesho
 
Woyooooo!!!
Watu na vitambi vyetuu!

Boss wangu anasemaga ni personality!! Yaani kile ukiwa popote lazima heshima iwepo!
Uyo boss mbona mzembe hata hawashaur mfanye mazoez [emoji3]
 
Hahaha asa wako kama wajawazito mda wote daah noma
 
Uzur haviumi.asieataka tumbo aende kwa nyoka.
 
Kila mtu ana hobi yake!
Mimi nikimuona wa hivo hata mzuka unakata
 
Mmh hongera mkuu mm nitapambana na wembamba wenye vishepu vyao ivyo vitambi mm apana
 
Mmh hongera mkuu mm nitapambana na wembamba wenye vishepu vyao ivyo vitambi mm apana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] anatoka kitambi akiwa kwako utamuacha? Kuna wengine anakuwa mwembamba sababu ya maisha tu muoe uone anavyofutuka [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mkiongozana kama kaka na dada au kama si mama na mwanaye
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…