Napenda wanawake wenye vitambi

Huku nilipo salama kabisa, Mvua inanyesha mpk basi, naona imeenda mapumziko kama masaa mawili yanakaribia,, ni baraka tupu
Mungu ni mwema jamani, hizo ni baraka kwa sie tuloko mashambani
 
Mkuu lipia tangazo
 
Hahhaha hapana alikuwa kapanick serious sijui ulipotea huko wakati mnachat haujamjibu umeibuka leo
Hamna yeye ndo alikimbia aki, halafu mie nkaaga tuu!
Nkalala zangu mie! Nimesalimia nilivyojibiwa tuu! Si nkacheka nikijua utani khaaa! Kumbe ni serious aki!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…