Napenda wanawake watu wazima

Mterezo wengine Mario wengine mteremko wengine kubebwa yote majina yanafaa kutumika hapa.
 
Ukiamua kutembea na "wamama" say 40+yrs angalia pia chances kubwa utakuja kulala na wake za watu, najua kwa sasa hutaona tatizo lolote coz you're still young. Lakini be careful who you date, sio kila mwanamke anafaa kuchepushwa.

Enjoy while it lasts.
 
Tunashukuru kwa Pongezi lkn kudate a pupil / Ben 10 ni sawa na kudate Bikra. .. mnasumbuaa
 
Mambo ya Dar hayo..... Amenikumbusha kuna Jamaa mmoja mitaa ya Sinza kwa Remmy huwa ana Upala halafu jioni anapita kitaa anatembea kwa kunata sana... Huwa sielewi ni kwa Udhamini wa nani, wakati yeye ana nata unakuta Muhuni una hustle kwa kazi Duuuuuhhh kweli maisha ni kuchagua
 
Kweli linapokuja suala la mapenzi kila mmoja anacho kichwa chake.

Hongera dogo kwa kuwahurumia na kuwafariji mama na SHANGAZI zako. Uhakika wamekusikia
 
Pepo la uzinzi kazini. Mungu tusaidie tushinde pepo hili maana linaangamiza hii jamii. Ghadhabu yako itakapotushukia tutakuwa kama vile Sodoma na Gomora. Moto utashuka kwenye miji yetu na kutuangamiza kwa ajili ya uovu tuliotenda juu ya nchi. Itakuwa kilio na kusaga meno kwa ajili ya kukuasi wewe na kufuata matakwa ya nafsi zetu. Ee Mungu turehemu.
 


Kheri Hansen
 
sio lemutz hyu....le kokobanga mobimba
 
Yaani mawazo yako nikama yangu, halafu watu wazima mnasikilizana kwa kila kitu, kwenye papa hata ukitaka usiku wa manane anakupa tu, kuliko hawa mavimini atakwambia Mara tumbo, Mara sjiskii Mara niache nilale ntakupa kesho sasa tabu zote hizo zanini?
 
Safi sana mwanamke mtu mzima anajua ,hata wakati wa kupiz anakubana matako vizuri alafu zikiingia zote anakushukuru na kunyanyuka taratibu kwenda kuoga.
 
Mkuu ebu nipe namba ya mumama mtu mzima uliyeachana naye nami nijivinjari nae nasikia hawana usumbufu kabisa.
 
Kama roho yako inapenda endelea,kwani mwisho wasiku ni furaha yako ndio muhimu,ila kwa watu wazima kuna uzuri wake na ubaya wake,ila kama mnaendana tabia nisawa tuu yote ni maamuzi yenu.
 
Alafu watu wazima hawasumbui kbs, hawana vitamaatamaa, hawachepuki hovyo, mkiahidiana wanakuja kwa wakati, nyeupe nyeupe nyeusi nyeusi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…