Kheri Hansen
JF-Expert Member
- Jan 20, 2018
- 1,025
- 1,241
Binafsi, huwa napenda sana kudate mwanamke mtu mzima. Nadhani ni kwasababau girlfriend wangu wa kwanza alikuwa mtu mzima, yaani alinizidi umri. They have this kind of taste to me, yaani sijui hata niielezeeje.
Huwa napenda vile ninavyoongea nae, ile feeling kwamba I'm reasoning with a matured person, ile heshima anayonipa ya kusikiliza mawazo yangu, na hata ule ushirikiano wa hapa na pale at the end of the day; kuna kuwa hakuna tofauti ya yeye kunizidi umri. I mean by numbers ni kweli anaweza kuwa over 5 or 6 etc, but between us, hakuna ile sense tena au ule mgawanyo kwamba flani ni mkubwa, bwana wangu ni mdogo, etc.
Na huwa tuna blend in vizuri sana. Hata kwenye kuachana, penzi hilo ndo huwa linaniuma zaidi na kubakisha memories nyingi kuliko la binti rika langu.
The most good part ya penzi hili; huwa ni yeye kama mtu mzima, wakati wa romance/bedroom, nampa vitu ambavyo ujanani alivimiss because of course mimi ni kijana, hivyo nampa penzi la ujana. Pia mimi kwangu anakuwa unique, kwasababu napata fursa ya kuonja mambo ya kiutu uzima.
I love these matured ladies!
[HASHTAG]#SpeakingMyMind[/HASHTAG]