Sijui nina tatizo la kisaikolojia? Hebu nisaidieni maana nimejikuta napenda na kutongoza wanawake ambao wamenizidi umri tena sana kitendo ambacho kinawashangaza pindi niwafuatapo ingawa nafanikiwa. Yaani nimejikuta kila mwanamke ninayekuwa naye basi kanizidi miaka si kati ya 6 au mitano ili hali mimi nina miaka 25.
hakuna ubaya kama mmekubaliana hop na wao wanajua kua we umdogo kwao so hadi wakakubali jua agreement tayari no force, endelea tu ila uswafate kwa lengo la kuelewa maana hiyo ni new topic
Dah,
ninachoamini ni kwamba we una akili timamu. Kama ni hvyo, unajua unachokifuata kwa hao akina dada. Pengine we ufunguke kwanza then wana JF watumie sababu zako kukushauri.
Kuwa muwaz kaka, madocta wanakusikiliza.