Tozii Nyambii
Senior Member
- Apr 1, 2017
- 144
- 77
Nenda kawachukue uwaoe..Habari za jioni wana JF
Jamani Mimi nampenda mwanamke mfupi kuanzia futi 4.5 ,mpaka 5.5 yaani nikimuona mwanamke mwenye kimo hicho huwa nafrahi saana
Inasemekana wanawake wengi wafupi wana kishuu.....
Acha ujingaHabari za jioni wana JF
Jamani Mimi nampenda mwanamke mfupi kuanzia futi 4.5 ,mpaka 5.5 yaani nikimuona mwanamke mwenye kimo hicho huwa nafrahi saana
Inasemekana wanawake wengi wafupi wana kishuu.....
Huyu ana futi 4.5Nenda kawachukue uwaoe..
Nikupe contacts za huyu?
Hapana Mimi Nina futi 6.2Nawe mfupi?
Ndo na vitz piaUnapenda mini cooper sio.
Atakuwa ana maumbile mafupi...Nawe mfupi?
Ana kimini si eti eehAtakuwa ana maumbile mafupi...
Nadhani umenielewa, sitegemei swali...
Ewaaaa... fast learner!!Ana kimini si eti eeh
Inawezekana uko sahihiAtakuwa ana maumbile mafupi...
Nadhani umenielewa, sitegemei swali...
Mi siku zote niko sahihi kama wazee wa Kolomije...Inawezekana uko sahihi
Ni mfupi huyu hana lolotee[emoji28] anajifariji tuu hapa.Nawe mfupi?