Mdeke_Pileme
JF-Expert Member
- Aug 24, 2013
- 1,598
- 2,243
Nathani kwao hakuna magodoro ya kulalia ndio maana anapenda wanene ili kuzuia ukavu wa chaga!
Mbona hizi story kama za Zena na Bettina. Mnene ana raha gani? Flexibility is the key. Mwembamba ndio mpango mzima. Unabeba, unakunja, unageuza upendavyo.
Godoro, hobby zetu zinaendana....
napendaje manyama uzembe! Teh!
Wakati naanza mapenzi..first wangu alikua mwembamba sana...kusema ukweli siku enjoy chochote.Na ikanifanya nione mapenzi si kitu. Ikafika time nikaja Dar kusalimu ndugu. Ndipo nikakutana na mpenzi Zena...mtoto wa kinyamwezi...black beauty afu bonge nyanya ivi. Uwiiiii....nakwambia...nilichanganikiwa sana mpaka nikakataa shule..nikaahirisha mwaka wa masomo. Tokea siku ile...napenda wanawake wanene mwanzo mwisho. Sipendi wembamba...sina feelings kabisa nao.
Kama wewe ni bonge...nakupenda sana. My kiss for you..Mmmwaah
hana lolote huyo haelewekagi kama ni Ke wala Me kwanza........
Kama ulihairisha kusoma kwa ajili ya unene wa Zena naona siku akikupiga chini utahairisha kuishi.....
Kama ulihairisha kusoma kwa ajili ya unene wa Zena naona siku akikupiga chini utahairisha kuishi.....