Napenda wanaume wa kiarabu

Napenda wanaume wa kiarabu

Yusomwasha

JF-Expert Member
Joined
Dec 5, 2014
Posts
2,092
Reaction score
844
Napenda wanaume wa kiarabu, wa kipemba, na wa pwani mombasa haswaaa
maana wanajua mahaba navyoskia
hata wazunguuuu
mm nawapendea waarab yale mambo yao tyuuuuu
Napenda hata wanaume weuc tiiiii handsome ila awe wa pwaniiii
Unguja, pemba, mombasa, uarabuni haswaa dubai, tanga
Nawapenda mnoooooo
Yale mambo yetuuuu ya kwenye mahaba ni wajuz sana
Mm nyang'anyang'a haswaa akiwa handsome halaf akiwa na mwili wa mazoezi, msafi mstaarab yaan ni utamu kunoga
 
Atakua keshajipanga huyo..Mpaka anawapenda watu wa pwani tu lazima washampa mautamu huyo
Sio mautamu hayo, ni mambo ya kishetani, pia kumbukeni mashetani huwa yanapenda kukaa baharini ..
 
Napenda wanaume wa kiarabu, wa kipemba, na wa pwani mombasa haswaaa
maana wanajua mahaba navyoskia
hata wazunguuuu
mm nawapendea waarab yale mambo yao tyuuuuu
Napenda hata wanaume weuc tiiiii handsome ila awe wa pwaniiii
Unguja, pemba, mombasa, uarabuni haswaa dubai, tanga
Nawapenda mnoooooo
Yale mambo yetuuuu ya kwenye mahaba ni wajuz sana
Mm nyang'anyang'a haswaa akiwa handsome halaf akiwa na mwili wa mazoezi, msafi mstaarab yaan ni utamu kunoga
730dc93084eb407cca1588d4420a0b92.jpg
cd23d85e569afe6679517812087b1453.jpg
 
Mimi ni Mwarabu Mweusi wa Kilwa Kisiwani-- tunafanana kiutamaduni hao uwapendao! U hali gani swahiba angu pambeetyu?!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom