Napenda uendeshaji wa IG Page ya Burna Boy

Ila twitter atakuwa ana control mwenyewe,sababu hata wakati wa xenophobia alitoa kauli kali kupitia twitter ,mpaka kufikia hatua ya kujibizana na AKA.Sizani kama aliandikiwa.
 
Jamaa anasifu ujinga then anatuaminisha uwo ujinga anaofanya uyo Burna boy ndio professional.
Acha upumbavu basi, ujinga uko wapi?
Burna Boy yeye kama yeye hahangaiki na mambo ya kuendesha mitandao ya kijamii, ana watu wake maalumu kwa ajili hiyo.
Sasa hapo ujinga uko wapi?
Acheni upumbavu, Jifunzeni kusoma na kuelewa.
 
Endelea kujifunza kuhusu MARKETING. Kama unadhani kufanya kazi nzuri tu kunatosha jiulize kwa nini makampuni makubwa yanawekeza fedha nyingi kwenye marketing wakati yanajulikana na yanazalisha products nzuri ambazo nazo zinajulikana lakini bado wanazitangaza.

So usimuone diamond ku promote kazi zake kupitia Instagram ukamuona mshamba. That is part of marketing plans zake....na hiyo mitandao imemsaidia kufika hapo alipo.

Kwa hiyo kama Burna boy hatumii mitandao kama Insta kujipromote ni yeye....na ana plans zake za kujitangaza ambazo ni tofauti na wengine.

Zile clips ambazo unaona diamond anapost akiwa na umati wa watu wengi ni advertisement na imemsaidia sana. Maana mashibiki wanataka contents na yeye anawapa wanachotaka.
Jifunze kusoma na kuelewa, siyo unaishia kuja kuniandikia gazeti hapa wakati haujaelewa mantiki ya komenti yangu!
 
Acha upumbavu basi, ujinga uko wapi?
Burna Boy yeye kama yeye hahangaiki na mambo ya kuendesha mitandao ya kijamii, ana watu wake maalumu kwa ajili hiyo.
Sasa hapo ujinga uko wapi?
Acheni upumbavu, Jifunzeni kusoma na kuelewa.
hapa ulikosea kutaja mond,ni mume wa watu wengi sana utaparuliwa mpama uzimie
 
hapa ulikosea kutaja mond,ni mume wa watu wengi sana utaparuliwa mpama uzimie
Bahati nzuri mimi hata sijamtaja diamond mkuu, ni mabaharia wengine tu hapo juu wamemtaja diamond.
Halafu kuna ID zimesema hapo juu eti diamond amezingatia sana marketing kuliko BURN BOY,
hivi kweli kanyelamumo wa hapa ndiye kaliona swala la eti Burna Boy hana marketing?
Tatizo watu wanaleta mazoea mpaka kwenye life style za watu binafsi.
 
Niliwahi kusikia mtandao wa kijamii pekee anaoingia huyu jamaa ni WhatsAPP, mitandao mingine kuna watu maalumu wanaicontrol, nampa hongera admin wa IG page yake, ukiingia kwenye page yake utaona upekee tofauti na page za mastaa wengine wa Africa, it's very professional.

Hutaona sijui vijembe, birthday wishes, na upuuzi mwingine, yeye anaweka kazi tu na tarehe za show, kama akiweka picha ya show/clip basi ni moja tu, hapa bongo kina Diamond, Harmonize, n.k wakifanya show moja kubwa basi tutawekewa clip 20 na vijembe juu, sijui ushamba wa show,

kila wimbo wakitoa wanaweka clip 50 za mashabiki wakicheza, yaani ukikaa wiki ujaingia kwenye page zao unakutana na post 100 mpya, hivi tunakwama wapi jamani?View attachment 1281560
NA WEWEW UNAZINGUA NA UANDISHI WAKO WA KI INSTAGRAM... HAYO MA EMOJI YANA FAIDA GANI SASA. UNAANDIKA KIPASHKUNA
 
Yaani humu ndani asisemwe Diamond , nimetaja majina mawili Harmonize na Diamond kama mfano ila mlichomind ni kumtaja Diamond. Basi mods futeni huu Uzi maana wataniua sio kwa povu hili
 
Yaani humu ndani asisemwe Diamond , nimetaja majina mawili Harmonize na Diamond kama mfano ila mlichomind ni kumtaja Diamond. Basi mods futeni huu Uzi maana wataniua sio kwa povu hili
Mume wa watu huyo ndugu ndio ukome kumtaja siku nyengine!
 
Sio burnboy tu mpaka wizkid davido. Rema.teni.donjazzy.mr p.fally pupa . tuseme wasanii wakubwa wote tu.. vijembe na kupost kama underground niwasanii wabongo tu..
 
weka hapa hizo video kumi za slow moja, kwahiyo wewe ni mjanja kuliko mond ngozi Nyeusi kweli tatizo.
.
Screenshot_20191205-123150.jpeg
 
Sio burnboy tu mpaka wizkid davido. Rema.teni.donjazzy.mr p.fally pupa . tuseme wasanii wakubwa wote tu.. vijembe na kupost kama underground niwasanii wabongo tu..
Hata wao wakiona wasanii wetu 'wakubwa' wanavyopost nadhani wanashangaa, tukipiga picha na wao tunashoboka kupost mapicha kama yote, ila wao hata time hawana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom