Napenda Simba ila Simba iki-draw au kushinda nipigwe ban JF

Labani og

JF-Expert Member
Sep 15, 2020
15,774
24,209
habari Wana JF,

Binafsi Mimi nipo tofauti kidogo na wenzangu ...kwani sipendi hiyo siku ya mechi ifike kwani naona taifa litakuwa kwenye aibu nzito pale ambapo kipindi Cha kwanza ubao utasomeka Al ahly 5- 0 Simba.

Kwa hasira na fedheha makolo wenzangu watakimbia uwanjani na watang'oa viti japo sijui itaisha vp
Ila Kwa hiki kikosi chetu naona tutapigwa kitu kizito

Kiapo changu
Mimi kama Labani og Laban of mchambuzi mahiri wa soka hapa JF. Naapa Kwamba Simba akishinda au kutoa droo nipigwe ban ya wiki on the spot kwanini nipigwe ban baadaya Simba kushinda... coz ntakua nmeshindwa kutumia profession yangu vizuri ya uchambuzi hivyo nipigwe ban as a way to take responsibility.

1711489753647.jpg
 
Mimi kama @Labani og Laban of mchambuzi mahiri wa soka hapa jf ...naapa Kwamba Simba akishinda au kutoa droo nipigwe ban ya wiki on the spot kwanini nipigwe ban baadaya Simba kushinda... coz ntakua nmeshindwa kutumia profession yangu vizuri ya uchambuzi hivyo nipigwe ban as a way to take responsibility
Wewe sio mchambuzi wa soka ila mchambuzi wa Mchele.
 
habari Wana jf
Binafsi Mimi nipo tofauti kidogo na wenzangu ...kwani sipendi hiyo siku ya mechi ifike kwani naona taifa litakuwa kwenye aibu nzito pale ambapo kipindi Cha kwanza ubao utasomeka Al ahly 5- 0 Simba

Kwa hasira na fedheha makolo wenzangu watakimbia uwanjani na watang'oa viti japo sijui itaisha vp
Ila Kwa hiki kikosi chetu naona tutapigwa kitu kizito

kiapo changu
Mimi kama Labani og Laban of mchambuzi mahiri wa soka hapa jf ...naapa Kwamba Simba akishinda au kutoa droo nipigwe ban ya wiki on the spot kwanini nipigwe ban baadaya Simba kushinda... coz ntakua nmeshindwa kutumia profession yangu vizuri ya uchambuzi hivyo nipigwe ban as a way to take responsibility

View attachment 2946545
Dah..
 
Sawa mkuu tumekusoma na kukuelewa lakini kwanini ukate tamaa? nafikiri ungejaribu kuwashauri Simba nini cha kufanya badala ya kuwakatia tamaa.
 
habari Wana jf
Binafsi Mimi nipo tofauti kidogo na wenzangu ...kwani sipendi hiyo siku ya mechi ifike kwani naona taifa litakuwa kwenye aibu nzito pale ambapo kipindi Cha kwanza ubao utasomeka Al ahly 5- 0 Simba

Kwa hasira na fedheha makolo wenzangu watakimbia uwanjani na watang'oa viti japo sijui itaisha vp
Ila Kwa hiki kikosi chetu naona tutapigwa kitu kizito

kiapo changu
Mimi kama Labani og Laban of mchambuzi mahiri wa soka hapa jf ...naapa Kwamba Simba akishinda au kutoa droo nipigwe ban ya wiki on the spot kwanini nipigwe ban baadaya Simba kushinda... coz ntakua nmeshindwa kutumia profession yangu vizuri ya uchambuzi hivyo nipigwe ban as a way to take responsibility

View attachment 2946545
Tayari ile degedege yako imerudi tena
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom