Napenda sex ila kila ninae mgusa tu mimba

Beberu-mpya

JF-Expert Member
Feb 14, 2017
216
104
Napenda mnishauri kwa hili jambo ambalo mimi huwa linanitokeaga kila ninapokutana nae Girl yeyote katika mahusiano lazima nimpe mimba.

Ni wapenzi wangu 6 sasa ninaowakumbuka kila ambae nimesex nae nilimpa mimba, sasa je hii imekaaje katika kufyatua watoto namna hii na kwa umri wangu huu wa miaka 23 na nina watoto hai 4 na waliopotea 2?

Naombeni ushauri jinsi ya kupunguza huu mchezo.
 
foolish kabisa condom hujui zinapouzwa au....unabadilisha tu kama soks 6 wote hao unaenda dry at 23 age??
 
foolish kabisa condom hujui zinapouzwa au....unabadilisha tu kama soks 6 wote hao unaenda dry at 23 age??
Bro Condom huwanikiivaa inanipunguzia hamu na jamaa huwa anakosa pumzi na kukosa uwezo kbs wa kuendelea na shoo
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…