Napenda sex ila kila ninae mgusa tu mimba

haa haa bas endelea kuijaza dunia...kama huogopi magonjwa uwe unafanya ku-withdraw
Aisee bro unanishauri mzigo unapokaribia nichomoe? Mmmh kwenye yale mambo hukuna anayeweza kuchomoa mzigo maana unajisikia viungo vyote muruaaaaaa... dah nishauri jambo lingine bhana kwa hili siwezi
 
Napenda mnishauri kwa hili jambo ambalo mimi huwa linanitokeaga kila ninapokutana nae Girl yeyote ktk mahusiano lazima nimpe mimba. Ni wapenzi wangu 6 sasa ninaowakumbuka kila ambae nimesex nae nilimpa mimba sasa je hii imekaaje katika kufyatua watoto namna hii na kwa umri wangu huu wa miaka 23 na nina watoto hai 4 na waliopotea 2? Naombeni ushauri jinsi ya kupunguza huu mchezo.
baki na demu mmoja mkuu alafu mpange uzazi
 
Napenda mnishauri kwa hili jambo ambalo mimi huwa linanitokeaga kila ninapokutana nae Girl yeyote ktk mahusiano lazima nimpe mimba. Ni wapenzi wangu 6 sasa ninaowakumbuka kila ambae nimesex nae nilimpa mimba sasa je hii imekaaje katika kufyatua watoto namna hii na kwa umri wangu huu wa miaka 23 na nina watoto hai 4 na waliopotea 2? Naombeni ushauri jinsi ya kupunguza huu mchezo.
Kwanza wewe ni mzembe wa kiwango cha lami. Kwa nini unafanya ngono zembe?
 
Mkuu acha kuuza match. Kizazi cha sasa ni hatari sana. Kabla sijaoa niliwahi kutembelewa na mke wa mtu na mimi nilikuwa sijui kama ni mke wa mtu. Alinipa penzi kirahisi sana na mimi nikapiga kavu kavu kumbe ameathirika. Nilikuja kujua baadae nilipoambiwa na rafiki yake ikabidi nikapime. Namshukru Mungu nilikuwa safi. Toka pale sitaki mambo ya kijinga(kuuza match).
 
Dah kweli brother ila mimi huwa sipend mke wa mtu na hata mwanafunzi pia, ila mimi na mabint wa kawaida tu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom