Nasian Ressy
Member
- Jul 12, 2026
- 72
- 179
Utaepuka mengi, ila uzeeni utakosa mtu wa kukusaidia.kama nilivyolelewa na singo matha na mm pia nataman kuw singo faz. ninawatapel madem kupitia hela ananizalia mtoto akiwa na mwaka na mpokonya.namletea mamangu ananilelea.