napenda sana kuhonga

napenda sana kuhonga

mzee wa kasumba

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2018
Posts
1,440
Reaction score
2,967
Hata sielewi

Mpaka mademu wananishangaa.

yaani nikianza mahusiano na mtu yeyote kabla hata hajanipa mbunye najiskia tu kumpa pesa tena pesa ndefu hata kabla ahajaniomba. Sijui hii hali ninayo mimi tu au kuna mwenzangu mwingine anayo

yaani hata hapa ninapoandika uzi huu kuna demu nataka nimhonge pesa nyingi tu.
hivi mimi nitakuwa mwanaume wa fungu gani?

A. fala
B. Jasiri
C. Domo zege
D. Mpenda mbunye
E. Mwenye huruma
F. ...................
 
Wewe hujiamini na unahisi mbinu pekee ya kumteka mwanamke ni pesa, na wadada wanavyojua kutumia FURSA hapo hata kama humtii vizuri atasema unampitiliza ha ha ha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umefeli kijana.. Acha huo umburula
 
Back
Top Bottom