Nguvu moja
JF-Expert Member
- Oct 20, 2017
- 3,371
- 2,715
Hongera kwa kuiwakilisha nafasi yako vyemaDaaah wengine tushawaza mbaliiiii....huu uhuni utatuua daah
nimestaafu siku hizi..nilikuwa natest mitambo kama inachaji hahahaHongera kwa kuiwailisha nafasi yako vyema
Sio vibaya tu siku moja moja kuliko na kuacha kabisanimestaafu siku hizi..nilikuwa natest mitambo kama inachaji hahaha
yeah huu mtandao mzuri sana nimeuzoeaSio vibaya tu siku moja moja kuliko na kuacha kabisa
Daaah nimevitamani. Asubuhi naviwahi kwa mama Amina..
Nlichokowaza kabla sijafungua uzi,ni Mungu pekee ndio ajuae

Nlichokowaza kabla sijafungua uzi,ni Mungu pekee ndio ajuae
Daaah wengine tushawaza mbaliiiii....huu uhuni utatuua daah
akili zetu hizi bana zinawaza mbali sana,hapa nilikua nategemea kukutana na picha ya likitumbua lililonona
Yaani acha tu..nilivyofungua thread kwa kasi ya 4G LTE asikwambie mtu![]()
![]()
akili zetu hizi bana zinawaza mbali sana,hapa nilikua nategemea kukutana na picha ya likitumbua lililonona
Yaani acha tu..nilivyofungua thread kwa kasi ya 4G LTE asikwambie mtu
mleta uzi ametupataDaaah wengine tushawaza mbaliiiii....huu uhuni utatuua daah
pole sana mkuu