cold water
JF-Expert Member
- Oct 6, 2021
- 323
- 1,128
Mimi ni ke mwenye umri wa miaka 25 ,ni mrefu wastani,maji ya kunde/chocolate colour mwembamba wastani ,napenda kuvaa jamani,lakini nikinunua nguo nikianza tu kuivaa sikawii kuichoka,nguo zangu ni za mtumba najua nikienda mtumbani na elfu 50 narudi na nguo nyingi kwa sh 4000_6000 lakini dukani narudi na magauni mawili tu ya sh 25000,je wewe mwanamke mwenzangu au ata mwanaume maana kuna wanaume wako vizuri kwenye fashion wanaweza nishauri pia, je unapenda kununua nguo dukani/mtumbani na vipi utaratibu wako wa kununua nguo upoje? Nguo gani unapenda ziwe nyingi zaidi kati ya skirt,t shirt,na suruali? Wewe unapendelea kuvaa rangi gani zaidi kwaajili ya kupendeza na kuwavutia wengine,na unanunua nguo baada ya mda gani? Karibuni kucomment nipo kusoma comment zenu wapendwa wa jf......
Huyu ni Ke ataoajeOmbeni sana vijana kabla hamjaoa
MkuuMimi mashati,t-shirt na viatu ndo huwa naenda mtumbani lakin suruali lazima nichukue special maana za mtumba ni chache ambazo huwa zinanikaa poa,ni Arusha pekee ndo nilkuwa napata suruali za mtumba zilizokuwa zinanikaa poa,nina matege ya kubonyea kwa ndani ila sio sana maana mademu wangu huwa hawayaoni mpaka akinikasirikia ndo anagundua kuwa huwa nina matege
Huyu ni Ke ataoaje
Sasa hutaki wavae mkuu?Vijana wengine nawaonya kwamba hii ndo Aina ya wanawake
Ukimwelewa, utamwelewa!!Huyu ni Ke ataoaje
Daa jamani![emoji25]Tatizo unanunua maronyaronya. Sio kuwa unaichoka Ila nguo ndio inechoka. Nunua mtumba clasic
Sasa hutaki wavae mkuu?
Nipo chuga nipe oda ya sarawili hizo mzeeMimi mashati,t-shirt na viatu ndo huwa naenda mtumbani lakin suruali lazima nichukue special maana za mtumba ni chache ambazo huwa zinanikaa poa,ni Arusha pekee ndo nilkuwa napata suruali za mtumba zilizokuwa zinanikaa poa,nina matege ya kubonyea kwa ndani ila sio sana maana mademu wangu huwa hawayaoni mpaka akinikasirikia ndo anagundua kuwa huwa nina matege
Kwangu ni asubuhiJioni njema