Napenda kupiga push up

Ndio inatumia umeme, na hata kama ukitaka kuhama nayo si tatizo unahama nayo

inakunjika?ni portable??how much? kwa hapa dar unaweza kuipata wapi tofauti na game??naweza nikaipata ya mtumba??
 
mimi msichana HARUFU naogopa watu na hasira za saa kumi na moja wasije wakanigeuza dekio
Nimeshakuelewa na unayosema ni kweli kabisa wala hujakosea, bora ununue hiyo mashine itakufaa, muda wowote ukijisikia hata nusu saa kabla ya kutoka nyumbani asubuhi unapasha
 
Nimeshakuelewa na unayosema ni kweli kabisa wala hujakosea, bora ununue hiyo mashine itakufaa, muda wowote ukijisikia hata nusu saa kabla ya kutoka nyumbani asubuhi unapasha

niambie naipata wapi
 
inakunjika?ni portable??how much? kwa hapa dar unaweza kuipata wapi tofauti na game??naweza nikaipata ya mtumba??
Kawaida inakuwa na spana zake(vifaa vya kufunga na kufungulia) na kitabu cha maelekezo namna ya kuifungua na kuirudishia ingawa, utakapofika eneo jipya ulilohamia unaanza kuifunga upya.

Bei yake kwa mtumba kwa kweli sifahamu labda KakaJambazi atusaidie
 
asante mkuunaona kakajambazi kapotea ghafla
 
yeroo unapenda sana tizi,,i rly like dat frm u kwakwel,,af nmecheka ulivolalamika maumiv ya push up,,kawaida ukiendelea kupga yataisha,,ngekua nakaa karibu na ww ngekufundisha karate,,vp ulimpata trainer wa self defence
 
Af hyo mashine, za mtumba nazionaga pale opposite na benjamin mkapa sec school pale kkoo,,kajaribu kuchek eroo
 
yeroo unapenda sana tizi,,i rly like dat frm u kwakwel,,af nmecheka ulivolalamika maumiv ya push up,,kawaida ukiendelea kupga yataisha,,ngekua nakaa karibu na ww ngekufundisha karate,,vp ulimpata trainer wa self defence

sikumpata nilielekezwa sehemu wanapojifunzia kwa kweli ni mbali na ninoishi na ninapotafutia doo,nimeona bora nitafute vifaa vya self defence ndo nipo kwenye mchakato
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…