Napenda kuona CCM ikianguka

Napenda kuona CCM ikianguka

Napenda kusema kile kilichoko moyoni mwangu.

Nimetokea kuichukia CCM kwa sababu mbalimbali.

Naiombea mabaya CCM kila kukicha najua Mwenyezi Mungu ipo siku atasikia kilio changu.
Duh...!.
Ni Mungu yupi huyo unaemuomba kuiombea mabaya CCM ife?.
Mtu yoyote anayeombea mabaya yatokee kwa yoyote na kuombea afe, mtu huyo anaomba kwa shetani akidhani ni anaomba Mungu!.
Kupata maendeleo ya kweli, Watanzania ni lazima tujifunze kuukubali ukweli!. Hili la CCM kutawala milele ni kweli!.
P
 
Back
Top Bottom