Napenda kuona CCM ikianguka

Administer

JF-Expert Member
Feb 9, 2020
930
1,408
Napenda kusema kile kilichoko moyoni mwangu.

Nimetokea kuichukia CCM kwa sababu mbalimbali.

Naiombea mabaya CCM kila kukicha najua Mwenyezi Mungu ipo siku atasikia kilio changu.

Ninapona mtu yeyote anaidhoofisha CCM namuunga mkono hata kama yumo ndani ya CCM kwani anaongeza nguvu upinzani.

Tusiwaogope wanaohama au kufukuzwa CCM na kuingia upinzani kwa lengo la kuiangusha CCM.

Uchaguzi mkuu wa 2015 Lowasa aliwahenyesha CCM hadi leo wanamakovu.

Tumpokee Membe upinzani aongeze nguvu upinzani CCM ife hata kwa kuwatumia waliokuwa CCM au wasiokuwa
 
Sawa ila kama umekula hela za membe nivizuri umpatie hela zake mgombea ni Mh Mbowe hakuna cha lissu wala membe .
 
Pole sana, nakuhurumia usije ukapata ugonjwa wa moyo bure. Kwa hizi siasa za upinzani zinazofanyika kisanii na ujanja ujanja utasubiri sana ndungu.

Wengi tunapenda sana vyama vya upinzani lakini si huu upinzani wa sasa wako kimasilahi zaidi kwa ajili ya matumbo yao na familia zao.

Kama chama kinapata ruzuku ya zaidi ya bilioni tatu kwa mwaka lakini wanashindwa hata kujenga ofisi ya makao makuu cha chama unategemea nini.
 
CCM itakuja kuanguka pale wakatapo vurugana wenyewe kwa wenyewe...... Ikitokea lakini

Ova
Mwaka huu ndo mwaka wa CCM kuachia dola. Upinzani unachoitaji ni mgombea wa kuhamasisha nguvu ya umma tu katika kulinda kura na matokeo ya kura.

Kwa staili ya uongozi wa Magu ni rahisi sana kumuangusha kwenye kura hasa panapokuwa na kuhamasisha nguvu ya umma
 
Utasubili sana ndugu kwa sasa hakuna upinzani imara wa kuitoa ccm labda 2050 huko,hiki kizazi cha upinzani wa kisanii kipite waje wapinzani wa kweri sio hawa wajanjawajanja wakurewa konyagi,halafu wanasingizia wamevamiwa.
 
Dalili zinaonesha ulitumbuliwa sasa kila mtu mbaya, ulivyokuwa unakula nchi na mivyeti yako feki uliwadhihaki waliopiga shule
 
Utasubiri Sana CCM chama tawala Kinatawala Hadi vyama vya upinzani Cha kwako kikisambaratika usishangae Ni kazi ya wanna CCM walioko ndani ya chama chako tena wenye vyeo vikubwa huko kwako
 
Membe ndo jembe kwa sasa.Msimamisheni na Magufuli atest zali huwenda angalau mkapata hata wabunge 10
 
Napenda kusema kile kilichoko moyoni mwangu.

Nimetokea kuichukia CCM kwa sababu mbalimbali.

Naiombea mabaya CCM kila kukicha najua Mwenyezi Mungu ipo siku atasikia kilio changu.

Ninapona mtu yeyote anaidhoofisha CCM namuunga mkono hata kama yumo ndani ya CCM kwani anaongeza nguvu upinzani.

Tusiwaogope wanaohama au kufukuzwa CCM na kuingia upinzani kwa lengo la kuiangusha CCM.

Uchaguzi mkuu wa 2015 Lowasa aliwahenyesha CCM hadi leo wanamakovu.

Tumpokee Membe upinzani aongeze nguvu upinzani CCM ife hata kwa kuwatumia waliokuwa CCM au wasiokuwa
Chuki nao ni ugonjwa na chanzo cha maradhi mbalimbali.
 
Usiombe CCM kuanguka kwa utaratibu unaoutaja, uiombee iwe chama cha upinzani ikibaki na nguvu ya kuweza kuchukua madaraka mbeleni, liombee taifa kusiwe na chama kimoja chenye nguvu, view angalau viwili au vitatu, maana ZIMWI LIKUJUALI.....
 
Back
Top Bottom