cantonna
JF-Expert Member
- Mar 11, 2013
- 1,120
- 439
Namuona Masudi Kipanya kama moja ya wanasiasa, ambao wanapigania maslahi ya watanzania kwa kutumia njia ya kipekee kabisa kwa KATUNI YAKE MAARUFU YA "KIPANYA" katuni hii mara nyingi huwa huwa na lengo la kukosoa au kuonya kuhusu mambo mbalimbali ya kisiasa, hivyo licha ya kuwa na kipaji cha uchoraji huyu jamaa pia ni mjuzi na mfuatiliaji mzuri wa siasa hasa za apa kwetu bongo, hivyo napendekeza ajitupe moja kwa moja mjengoni ili akatupe mambo zaidi........!!!